Nini kimeikumba Sinza, siku zote ilikuwa weekend?

Mtukufu,mtakatifu raisi"Kunawatu wameficha fedha ndomana pesa haionekani kenye mzunguko"
TRA"Kila mwezi tunavuka lengo la ukusanyaji mapato"
Bandari- kweli importation imeshuka kwa kiwango kikubwa
BOT-uchumi umedorora

Hapa tumwamini nani??
 
Waache watu wafanye kazi kwanza mpaka raha km China vile muda wa kazi watu wapo busy hii ndio Tz tuitakayo
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
Umefikiria mbaliiiiiiii
Siku zote ilikua bata kisa kuna watu wanapiga hela kwa sekunde
 
Siku hizi hata wenye maduka mitaani tunafunga mapema saa 3 ni kama saa 6 hakuna wateja kabisa,hata wazururaji wamepungua.
 
It is a fact that the economic condition is not good and citizens should be aware of it!!..
 
Namba zinasomeka 666!!!!!!
Mashetani wameanza kuishi km masikini na masikini sasa wanakula bata
 
Soon mambo yatakuwa sawa mkuu. Bado nna imani. Uongozi n mpya ivo taratbu mpya na kujarbu kukopi na uongoZ. myb next financial year mambo yatakua mazur zaid
 
Saafi lkn,watu walizidi mtu mmoja unaagiza heinekein 10 at once na anakunywa nusunusu!! Acha tu nyooke kidogo ili heshima irudi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…