Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Hebu tuendelee kufuatilia .. haiwezekani starehe yetu ipotezwe kizembe tu hivi bila kufanya juhudi!
 
Msamehe tu kaka...akibalehe ataacha
 
Mimi awamu hii nakunywa Kayoga, Kimpumu, Ulanzi, Gongo, Mnazi, Komoni, Mbege, Wanzuki, yani za viwandani nshasahau kabisa.
 
Iko wapi hii kitu? Nimebakiwa na kumbukumbu ya chupa tu!
 
Zimerudi I swear.

Dah! God bless whoever made this possible.
 
Imerudi mkuu. Starehe yetu imerudi. Naishusha as we speak.
Vp mkuu bei ni ile ile au kuna mabadiliko?

Nakumbuka 1st time kuonja hii kitu ilikua 2011, and since then ndo kikawa kinywaji changu pendwa. Hiki kinatufaa ambao hatutumii bia na vinywaji vikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…