Maisha siyo kazi tu naona umekalili kuwa maisha ni kazi tu kuna vitu vingine nje baada ya kazi
mungu mwenyewe kipindi cha uumbaji aliumba dunia siku sita ila siku ya saba akapumzika je unajua alipopumzika alikuwa anatumia nini totoz, bwax, au alilala tu ujui
Kazi na bata, wewe kama umeamua kufanya kazi masaa 24 komaa tu acha wengine wajadili vitu vingine
Ujuaji mwingi ujui je kama mleta mada ni afisa masoko wa smine off yupo kukipa promo kinywaji chake uoni anafanya kazi
Acheni kujifanya mnaakili sana kuzidi wengine