Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Hiyo ndio bei yake mkuu.
Na huwa haina sehemu maalum inapopatikana huwa ni kubahatisha tu kwa kuulizia kila bar.

Asante sana tena sanaa mkuu wala hamna neno kabisaaa nashukuru kwa msaada wako
 
Hata mimi ndio brand yangu hii,iliadimika sana ila mwaka huu nimeanza kuziona tena hata mwezi huu mwanzoni niliagiza mahali nikazipata,nilikuwa maeneo ya Arusha.

zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
 
zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Hakuna ubaya hata kwa sisi wanaume,hayo mambo flani yakishuka tunasaka mtu kama wewe tunamalizana tu
 
zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Acha hizo mkuu...

Pombe imeanza lini kuchagua jinsia?
 
Wakuu wale walevi lkn pombe na beer zinatofati kwani. Hivi kwa kidhungu pombe ni alcohol sio?
Basi alcohol na beer tofauti nn. Je si utalewa ukinywa chochote kati ya hiki sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…