Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

IMG_7049.JPG
 

Attachments

  • IMG_7048.JPG
    IMG_7048.JPG
    646.5 KB · Views: 9
Hiyo ndio bei yake mkuu.
Na huwa haina sehemu maalum inapopatikana huwa ni kubahatisha tu kwa kuulizia kila bar.

Asante sana tena sanaa mkuu wala hamna neno kabisaaa nashukuru kwa msaada wako
 
Hata mimi ndio brand yangu hii,iliadimika sana ila mwaka huu nimeanza kuziona tena hata mwezi huu mwanzoni niliagiza mahali nikazipata,nilikuwa maeneo ya Arusha.

zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
 
zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Hakuna ubaya hata kwa sisi wanaume,hayo mambo flani yakishuka tunasaka mtu kama wewe tunamalizana tu
 
zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Acha hizo mkuu...

Pombe imeanza lini kuchagua jinsia?
 
Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS

Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water. Foamless (haina povu). Hangover-less. Simply perfect.

Hiki kinywaji hakina mpinzani. There is nothing like it. Ukiiulizia ukaikosa, there is no suitable alternative. Tumechangia sana pato la taifa kupitia hii kitu.

In the recent months za 2019, kinywaji hiki kimeadimika sokoni. Wauzaji wa liquor wanasema Smirnoff Ice imeadimika. Hata viwanja vikubwa havina hiki kiburudisho. Sio dar, sio mikoani. Ila ukivuka borders, kinapatikana vizuri tu East Africa. Juzi tu nilikuwa Kiyunga, Luuka - Uganda ndani ndani huko ambapo watu wanaongea Luganda na Busoga tu. Kiingereza mtiti. Local pubs. Ila hii kitu niliipata bila kusahau Uganda Waragi.

Cha kushangaza, hiki ni kinywaji with a very loyal following. It is truly reverred by many. Ukiniambia demand ni ndogo, napata shida kuamini

I humbly request for any info regarding this refreshment. Leo nimekitafuta nimekikosa. Labda nikijua kilichoikumba I, and many like myself, will get closure.
Wakuu wale walevi lkn pombe na beer zinatofati kwani. Hivi kwa kidhungu pombe ni alcohol sio?
Basi alcohol na beer tofauti nn. Je si utalewa ukinywa chochote kati ya hiki sio?
 
Back
Top Bottom