LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Ipo ila ni kweli imeadimika sanaIko wapi hii kitu? Nimebakiwa na kumbukumbu ya chupa tu!View attachment 1191201
inabidi ukariri maeneo unapoipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ila ni kweli imeadimika sanaIko wapi hii kitu? Nimebakiwa na kumbukumbu ya chupa tu!View attachment 1191201
Huwa unakunywa chupa ngapi ili ujiskie km unaelea hivi😅Asee hiyo kitu Ni tamu ,,,balaaa unalewa bill kukunja ndita,,,,Kama ulanzi wa iringa ambao umetoka kugemwa
Elfu 3
Hiyo ndio bei yake mkuu.Wapi naweza kupata kwa hiyo bei kiongozi unaweza kunielekeza tafadhali??
Hata mimi ndio brand yangu hii,iliadimika sana ila mwaka huu nimeanza kuziona tena hata mwezi huu mwanzoni niliagiza mahali nikazipata,nilikuwa maeneo ya Arusha.Ipo ila ni kweli imeadimika sana
inabidi ukariri maeneo unapoipata
Wapi naweza kupata kwa hiyo bei kiongozi unaweza kunielekeza tafadhali??
Uko chupa ya ngapi saiv?
Uko chupa ya ngapi saiv?
Dsm .. ww upo wap
Hiyo ndio bei yake mkuu.
Na huwa haina sehemu maalum inapopatikana huwa ni kubahatisha tu kwa kuulizia kila bar.
Sinywagi hii
Hata mimi ndio brand yangu hii,iliadimika sana ila mwaka huu nimeanza kuziona tena hata mwezi huu mwanzoni niliagiza mahali nikazipata,nilikuwa maeneo ya Arusha.
Hakuna ubaya hata kwa sisi wanaume,hayo mambo flani yakishuka tunasaka mtu kama wewe tunamalizana tuzipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Acha hizo mkuu...zipo kibao bar zote za sinza uliziaa utazipatq 3500 bt hizi sio nzuri kwa wanaume khaaa zinatufaaa sisi wadada coz zinashushaa mambo flani mapemaa
Wakuu wale walevi lkn pombe na beer zinatofati kwani. Hivi kwa kidhungu pombe ni alcohol sio?Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS
Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water. Foamless (haina povu). Hangover-less. Simply perfect.
Hiki kinywaji hakina mpinzani. There is nothing like it. Ukiiulizia ukaikosa, there is no suitable alternative. Tumechangia sana pato la taifa kupitia hii kitu.
In the recent months za 2019, kinywaji hiki kimeadimika sokoni. Wauzaji wa liquor wanasema Smirnoff Ice imeadimika. Hata viwanja vikubwa havina hiki kiburudisho. Sio dar, sio mikoani. Ila ukivuka borders, kinapatikana vizuri tu East Africa. Juzi tu nilikuwa Kiyunga, Luuka - Uganda ndani ndani huko ambapo watu wanaongea Luganda na Busoga tu. Kiingereza mtiti. Local pubs. Ila hii kitu niliipata bila kusahau Uganda Waragi.
Cha kushangaza, hiki ni kinywaji with a very loyal following. It is truly reverred by many. Ukiniambia demand ni ndogo, napata shida kuamini
I humbly request for any info regarding this refreshment. Leo nimekitafuta nimekikosa. Labda nikijua kilichoikumba I, and many like myself, will get closure.
Kweli kabisa mkuuYa kuchanganya mkuu haiji as perfect.
Utazidisha limao, au kvant, au barafu. Hupati ile perfect solution.