Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo


Fanyeni kazi aiseee
TuFanye kazi myebusi tu enjoy maisha
 
Hqhaa umeanza lalamika tu mapema hvi..hahaa kuna hatari ya kunywa smirnofu 2 ukachikichia..hehehe lol
Noo! Mbaya ni pale unapokuwa hujui uwezo wa mtu fulani kugida pombe... Maadam najua uwezo wako hauzidi kumi, so sitashangaa ukiwa unazidondosha kama nazi! Najua tu kuwa natenga elfu hamsini ya 'kukumaliza'...
 
Back
Top Bottom