Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

Msimamo kwenye nini?. Ulitaka waanzishe kikundi cha uasi?. Endeleeni na ccm hamna aliyewakataza.
Misimamo kwenye vitu vingi ayo ya uasi umeongea ww, walikijenga chama then anakujamwana kuja na cheo wanampa, sasa tu kuanzia hapo wana misimamo gani yani walimuingiza adui hadi chumbani wanavurugana wenyewe kwa wenyewe chadema wamejiua wenyewe
 
Andika kwa kiswahili tuelewane kijana...
 
Punguzeni unafiki jamani!
 
Vichaa wanazidi kuongezeka kwa kasi safari mtatembea mnaimba Chadema
 
Sisi tunajua yule mwovu aliyetumia mabilioni ya kodi zetu kujaribu kuiua Chadema ndiye amekufa na yuko motoni anapokea mshahara wa maovu yake lakini Chadema ipo sana tu
 
Masikio na macho yako yakitaka kusikia au kusoma kila unachohisi kwako ni sahihi wala hainisumbui..
Sasa kuna hoja gani ya kujibu hapo kwenye andiko lako? Chawa kama chawa huna jipya zaidi ya kunyonya wenzako tu hapo lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…