Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

Msimamo kwenye nini?. Ulitaka waanzishe kikundi cha uasi?. Endeleeni na ccm hamna aliyewakataza.
Misimamo kwenye vitu vingi ayo ya uasi umeongea ww, walikijenga chama then anakujamwana kuja na cheo wanampa, sasa tu kuanzia hapo wana misimamo gani yani walimuingiza adui hadi chumbani wanavurugana wenyewe kwa wenyewe chadema wamejiua wenyewe
 
Mlishakalili ayo ayo tu kwan hakunaga point zingne imekuwa as if mashairi jmnii kwan chadm si imeanza zamni kabla ya magu kuingia madarakani mbna mlikuwaga ivo ivo 2 toka enzi kwaiy nie toka mmeanzishaga chama chenu mnaibiwaga tu kura na kuonewa miaka yote iyoo hamjashika nchiii basi tutawaona na apa kwa samia
Andika kwa kiswahili tuelewane kijana...
 
Kilichoiua chadema ni natural coincidences zilizotokea wakati wa uchaguzi wa 2015.
Within chadema yenyewe kulitokea ukengeufu wa kumtosa Dr Slaa na kumleta Lowassa kuwa mgombea wa urais. Wale wasioamini ktk unyumbu hawakufurahishwa na hicho kitendo. Hicho kiliifanya chadema kutoaminika.
Outside chadema, ccm wakachagua jembe, Hayati Dr John Pombe Magufuli (rip) kuwa mgombea wa urais, ambaye aliihuisha na kuipa uhai mpya ccm ambayo ilikuwa imejifia kama chadema ya sasa hivi.
Punguzeni unafiki jamani!
 
Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazotoa ushahidi juu ya kiini cha anguko la Chadema

Udikteta: Pamoja na kujitabanaisha kama chama kikuu cha upinzani lakini Chadema kilikumbwa na tafsiri batili ya Jina na matendo yake, Chama cha kidemokrasia kinachoendeshwa kidikteta kwa kung'ang'aniwa na mtu mmoja kukiongoza kwa muda mrefu na kukifanya chama kama Mali binafsi ya Familia kwa mfano Mbowe amekuwepo madarakani toka enzi za Mzee mkapa, mkapa aliondoka akamuacha Mbowe kama mwenyekiti baadaye akaja kikwete akamuacha Mbowe kama mwenyekiti

akaja Magufuli akamuacha Mbowe kama mwenyekiti na sasa ni Samia, kwa lugha nyingine ni kwamba CCM imepata wenyeviti wanne tofauti lkn Chadema kikiwa na mwenyekiti mmoja tu naye ni Freeman Alkael Mbowe

Ni kosa kubwa sana kuruhusu mawazo ya mtu mmoja anayekosea Mara kwa Mara kutowajibika pale anaposhindwa
uchaguzi wa Mwaka 2005 ulitosha kabisa kumuondosha Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema

Lakini ameng'ang'ania madaraka tu utazani kupe na hatimaye America chama kwa kunyonya damu yote

Mbowe Hana Mamlaka ya kudai katiba mpya kwa sababu yeye mwenyewe ni mvurugaji namba moja wa katiba ndani ya chama chake

tutaendelea kujadili udikteta kama kigezo cha anguko la Chadema namba 2
Vichaa wanazidi kuongezeka kwa kasi safari mtatembea mnaimba Chadema
 
Sisi tunajua yule mwovu aliyetumia mabilioni ya kodi zetu kujaribu kuiua Chadema ndiye amekufa na yuko motoni anapokea mshahara wa maovu yake lakini Chadema ipo sana tu
 
Masikio na macho yako yakitaka kusikia au kusoma kila unachohisi kwako ni sahihi wala hainisumbui..
Sasa kuna hoja gani ya kujibu hapo kwenye andiko lako? Chawa kama chawa huna jipya zaidi ya kunyonya wenzako tu hapo lumumba
 
Back
Top Bottom