Nini kimeiua Tips Lounge?

Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usiku
Yani kwa kifupi ku maintain status ya biashara ni jambo zito mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo kidimbwi
 
Umeona Sasa..yaani management ya hizi sehemu ni shughuli pevu. Lazima.management ijue kucheza na wateja.
 
Kama totozi za chuo hakuna, anadhani nan anaenda?
 
Mbona nimesikia mwenye nayo alikimbia nchi kuna tukio alifanya kukwepa mkono ikabidi atoroke .
 
Imekufa? Dah!
 
Hii woodland ndo ile iko masaki mkuu?
 
Tips ipo kwenye makazi ya watu na wenye hela so wamepigwa pini mziki mwisho sa sita tu. Same story na Boardroom, tena pale pamefungwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…