Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usikuNa wengi wanaoanzisha hizi Bars na Pubs za mchipuko sio watu wa Biashara hizo. Unakuta mtu Afisa Ugavi huko kakwalua pesa ofisini hajui hata afanye nini anaemda kufungua Bar au Club sasa tatizo linakuja kwenye Management ambayo inahitaji wajuzi wa kazi hizo sio wababaishaji.
**** Sehemu Bongo zinaanzishwa lkn ukiziona tu unajua hazimalizi hata miaka miwili lazima zife.
Ukiona watu kama SamakiSamaki wanamaintain siyo kazi ndogo.
Yani kwa kifupi ku maintain status ya biashara ni jambo zito mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app