Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Vibe limehamia Ikulu, kuna Dj anacheza ngoma za hatari na kuna mwanamama anademka demka ile mbayaaaaaaKwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.
Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?
Niliskia ni MaropeUnamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Niliskia ni Marope
Ibungu nayo imefifia. Watu wamehamia Dance Club kitu kipya MwengeWatu wanajificha Ibungu Mabibo na bar za Sinza
Ibungu vibaka wasuka bread wengi sanaWatu wanajificha Ibungu Mabibo na bar za Sinza
Yes inafamikamwenye tips ndo mwenye kidimbwi
Ibungu Mabibo ukienda na hela ujue yote itaishia hukoWatu wanajificha Ibungu Mabibo na bar za Sinza
Siku hizi hamna maajabuSmall planet panajaza kichizi
Mmemkimbiza kuhani Richard Musa Mwacha mmefungua barIbungu nayo imefifia. Watu wamehamia Dance Club kitu kipya Mwenge
Siku za Ijumaa huwa Ni hatariiiiii.Twanga Pepeta huwa inapafanya panakuwa fayaaaaUmesahau "MAWASILIANO PARK" panabamba sana siku hizi
Hapana, pale kwake pamekua Yard ya Magari, yeye kamaliza kujenga hekalu lake huko KimaraMmemkimbiza kuhani Richard Musa Mwacha mmefungua bar