Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Vibe limehamia Ikulu, kuna Dj anacheza ngoma za hatari na kuna mwanamama anademka demka ile mbayaaaaaaKwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.
Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.
Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?