Nini kimeiua Tips Lounge?

Nini kimeiua Tips Lounge?

Kwa vijana wa Dar wanajua balaa la Tips ikifika ijumaa. Ni nyomi la kufa mtu plus pisi za hatari.

Sasa jana kwa mara ya pili naenda Tips saa 6 usiku nakuta papo kimya pametulia. Hata parking unapata mlangoni.

Nini kimetokea ghafla hivi? Vibe limeamia wapi party people?
Vibe limehamia Ikulu, kuna Dj anacheza ngoma za hatari na kuna mwanamama anademka demka ile mbayaaaaaa
 
Mawasiliano misambwandah Kama Kenya

2815227_kimambo__jr_20200905_215846_0.jpg
 
Back
Top Bottom