Nini kimeiua Tips Lounge?

Nini kimeiua Tips Lounge?

Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Nimjue nisimjue..its none of my Business. Hizo sehemu za Hype Bingo huwa haziwi maintained ndio maana hazidumu. Kama umekaa mjini muda mrefu na umri wako ni 40 plus na ni mtu wa Viwanja utaelewa ninachoandika.
 
Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Tatizo yule kijana wenu anaendekeza mbususu sana japo kaoa ndio down fall yake ilipo hapo amshukuru mke wake kidogo mpunga upo kutokana na asili yake.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Tips hata maintenance wanashindwa palikua na jina kubwa ila hata kutengeneza viti vilivyoanza kuharibika au kubadilisha cover za viti wanashindwa.

Tanzania kiujumla hatujui kitu kinaitwa maintenance. Tunasubiria mpaka kitu kiharibike kabisa na kushindwa kutumika ndio tuchukue hatua.
 
Na wengi wanaoanzisha hizi Bars na Pubs za mchipuko sio watu wa Biashara hizo. Unakuta mtu Afisa Ugavi huko kakwalua pesa ofisini hajui hata afanye nini anaemda kufungua Bar au Club sasa tatizo linakuja kwenye Management ambayo inahitaji wajuzi wa kazi hizo sio wababaishaji.
**** Sehemu Bongo zinaanzishwa lkn ukiziona tu unajua hazimalizi hata miaka miwili lazima zife.
Ukiona watu kama SamakiSamaki wanamaintain siyo kazi ndogo.
 
Back
Top Bottom