Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Watu wameamia Dance Club Mwenge na small planet Tabata
Hiki kiwanja hapo mpakani kinatisha hatari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wameamia Dance Club Mwenge na small planet Tabata
Mambo yotw kwa shayo tipsy wanatupigia kelele majirani
Mtaa wa pili toka tipsyKwa shayo ndio wapi?
Nimjue nisimjue..its none of my Business. Hizo sehemu za Hype Bingo huwa haziwi maintained ndio maana hazidumu. Kama umekaa mjini muda mrefu na umri wako ni 40 plus na ni mtu wa Viwanja utaelewa ninachoandika.Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Haya borntown tuishie hapaNimjue nisimjue..its none of my Business. Hizo sehemu za Hype Bingo huwa haziwi maintained ndio maana hazidumu. Kama umekaa mjini muda mrefu na umri wako ni 40 plus na ni mtu wa Viwanja utaelewa ninachoandika.
Asantee.Haya borntown tuishie hapa
Kwa sababu huwa wanalewa sifa mapema na kubwetekaBiashara za Waswahili nyingi ndivyo zilivyo..huwa hawawezi kumaintain.
Small planet panajaza kichiziWatu wameamia Dance Club Mwenge na small planet Tabata
Niliwahi kulewa hapo Ibungu mabibo, sitasahauWatu wanajificha Ibungu Mabibo na bar za Sinza
Tatizo yule kijana wenu anaendekeza mbususu sana japo kaoa ndio down fall yake ilipo hapo amshukuru mke wake kidogo mpunga upo kutokana na asili yake.Unamjua mwenye nayo lakini?...ama unaongea tu kufurahisha genge..kama wewe mtu wa bia humkwepi, unampelekea kwenye kiwanja chake kingine maarufu sana fyi
Yes..vilevile kukosa ubunifu.Kwa sababu huwa wanalewa sifa mapema na kubweteka
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app