Nini kimejificha nyuma ya Bunge kupitisha Sheria kuanzia mahabusu maalum za wauza unga?

Yaan SHERIA hiyo, inataka kuwepo na Mahabusu maalumu za "Wauzaji wa Dawa za Kulevya?" .
Nchi nyingi kuna mahabusu hizi na pia za Uhamiaji(kwa wenye makosa ya nayousu uhamiaji) City Council (mfano Jiji la Dar wana ata mahakama yao pale jengo la Avalon karibu na st. Jospeh. Pia South Africa wote wenye kesi za Uhamiaji wana Mahabusu yao inaitwa Lindela. Hapa Tanzania Mfano Uhamiaji Singinda wana mahabusu zao na iwapo utakutwa na hatia mahakamani ndo utaenda magereza tumikia kifungo. Uhamiaji Dar HQ kama wana ishu na mtu mara nyingi uwalaza pale Central Police - lakini ata pale Uhamiaji Posta Dar Mambo ya ndani wanayo mahabusu yao. So ni kawaida bahadhi ya Idara zinazodeal na Law enforcement kuwa na mahabusu zao- Ata Jeshi wanazo na zipo chini ya MP
 
Kwa kweli !!!
 
Bunge tayari limepitisha Sheria hiyo jana Tarehe 14, 2022 ndio maana tunaomba wajuzi wa mambo watusaidie kuna nini kimeficha nyuma
Hata TAKUKURU wana Mahabusu zao, Easy Chief
 
wasiwasi wako nini, hata kama ingekuwa ni kuwapiga risasi?
Yaelekea kwenu kuna watu wanaofanya hii biashara, napendekeza WAUAWE
Umeelewa kweli kinachoongolewa? Sheria mpya inataka watumuhumiwa dawa za kulevya kuwa na mahabusu/jela zao chini ya DCEA.

Hata mm naona halipo sawa, kuwatenganisha na kuwapa jela zao tena chini ya DCEA ni jambo baya Kuna nia ovu ndani yake.
 
Back
Top Bottom