Nini kimekufurahisha au kukukwaza kwenye majukwaa ya JF toka mwaka 2025 uanze?

Mimi nimechukizwa na mada nyingi za dini zinazoletwa na watu wasio kuwa na Elimu ya dini na kupelekea wengine wasio kuwa na Elimu hiyo kuchangia kwa kupotosha na pia nimechukizwa sana na mada nyingine za kudhalilisha ukuu wa Mungu (mfano: Kumfananisha Mungu na viumbe nk nk nk)
Kweli, ni vizuri watu kuleta mada kwa staha na bila kukashifu imani za watu wengine
 
Nachukizwa na watu wanaokuja kwenye uzi wako wanasema Chai hii au wale wengine wanaosema " JF imevamiwa" yaani kama watu hatuna haki ya kutoa ya mioyoni mwetu🙌

Nafurahishwa na wote wanaotoa ushauri bila hiyana unapoleta jambo lako.
Huwa wananiuzi sana hao wa chai, wao wanataka experience na limitations zao ndiyo ziwe za kila mtu.

Mimi napenda sana nyuzi zako za visa vya maisha na namna unavyoandika kwa uwazi 💕.
Endelea mwaya, usiwasikilize!
 
Post za mapenzi ni nyingi kuliko mijadala chanya ya kuijenga nchi, kwa mfano ukienda sehemu ya new threads humu katika nyuzi 30, 20+ zinahusu mapenzi na less than 5 Samia na Kafulila na zilizobaki Simba na Yanga Linerpool nk 👇
  1. Wanawake wawili wanapigana kumgombania mwanamme mmoja.
  2. Aisee we mwanaume mwenzangu uliyekuwa na mpenzi wako hapa rainbow pub kwa nje mnakula chipsi kesho nakugongea demu wako.
  3. Nilimtongoza kanikataa jana kaona natoka na demu Gheto leo kaja kunimaindi
  4. Wadada hebu mtuambie ambao hatuna pesa tunwapata vipi??
  5. Kushikwa matiti na mwanaume
  6. Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!
  7. Papuchi za kununua sio tamu
  8. Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba
  9. Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?
  10. Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?
  11. Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu
  12. Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?
  13. HAKIKA SHUGULI NILIOIFANYA LEO SIMCHEZO
  14. Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?
  15. Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?
  16. Kwanini Wanaume wa kichaga hawakai na wake zao?
  17. Nguvu za kiume zimekua tatizo
  18. Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.
  19. Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya
  20. Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?
  21. Mke anahitajika
  22. Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu
  23. Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?
  24. Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?
TAZAMA HUKO DUNIANI
 
Watu wanaotukana na kukosa lugha za staha wananiuzi sana.
Ila nyuzi zilizonifurahisha nikacheka sana in 2025 ni 👇 .

Mtu niliyemfurahia sana 2025 ni mzee mwenzangu Ushimen 🙈
😜😜😜😜
 
Attachments

  • downloadfile-16.jpg
    downloadfile-16.jpg
    214 KB · Views: 1
Watu wanaotukana na kukosa lugha za staha wananiuzi sana.
Ila nyuzi zilizonifurahisha nikacheka sana in 2025 ni 👇 .

Mtu niliyemfurahia sana 2025 ni mzee mwenzangu Ushimen 🙈
Ebu check PM hapo unijibu chap 😋
 
Post za mapenzi ni nyingi kuliko mijadala chanya ya kuijenga nchi, kwa mfano ukienda sehemu ya trending threads humu katika nyuzo 30, 20+ zinahusu mapenzi na less thani 5 Samia na Kafulila na zilizobaki Simba na Yanga Linerpool nk 👇
  1. Wanawake wawili wanapigana kumgombania mwanamme mmoja.
  2. Aisee we mwanaume mwenzangu uliyekuwa na mpenzi wako hapa rainbow pub kwa nje mnakula chipsi kesho nakugongea demu wako.
  3. Nilimtongoza kanikataa jana kaona natoka na demu Gheto leo kaja kunimaindi
  4. Wadada hebu mtuambie ambao hatuna pesa tunwapata vipi??
  5. Kushikwa matiti na mwanaume
  6. Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!
  7. Papuchi za kununua sio tamu
  8. Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba
  9. Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?
  10. Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?
  11. Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu
  12. Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?
  13. HAKIKA SHUGULI NILIOIFANYA LEO SIMCHEZO
  14. Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?
  15. Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?
  16. Kwanini Wanaume wa kichaga hawakai na wake zao?
  17. Nguvu za kiume zimekua tatizo
  18. Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.
  19. Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya
  20. Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?
  21. Mke anahitajika
  22. Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu
  23. Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?
  24. Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?
Sasa mkuu hiyo mijadala chanya ya kuijenga nchi si hata wewe unaweza ukaileta tuijadili?
 
Labda ni uhalisia kwamba mapenzi yanaiendesha dunia, nafikiri nyuzi ni nyingi kwa sababu zinapokelewa na kuchangiwa zaidi hivyo zinatia hamasa waandishi waendelee.
 
Back
Top Bottom