Nini kimekufurahisha au kukukwaza kwenye majukwaa ya JF toka mwaka 2025 uanze?

Watu wanaotoa lugha za matusi wanakera sana ...... Sawa hatukujui na huonekani lakin kutoa lugha chafu hakumfany mtu kua mjanja sana ila unaonekana mpumbavu usiye na akili ndo nyie vizaz vyenu vinarith upuuz wenu
Swala la Iman (dini) wewe umezaliwa umekuta familia ni waisilam au wakristo hebu hangaika na dini yako habar za kuanza kuongea ovyo Iman za watu wengine na kujifanyia much knw sana kumbe jinga fulan iyo dini unayoisakama ni vile tu hujazaliwa Kwa familia ya din iyo ungezaliwa Kwa familia ya dini iyo sidhan kama ungekuja na nguvu ya kuja humu na kubwabwaja
Wanaotukana wanawake haswa ma single mama Kuna kitu kinaitwa KARMA nyie wengine ni. Wazaz na wengine mtakuja kua wazaz mtazaa watoto wa kike na atapitia hayo unayotolea matusi
 
Tuenda pm ukivutiwa na id

Lakini kila kitu humu ni fake

Watu hawatumii picha zao kwenye profile zao

Unaeniona hapo ni mimi ..... Kendrick au joe


Kuna muda watu wangekuwa real humu families nyingi zingetengenezwa humu JF πŸ˜…
Haa haa, rejea kusoma:
 
Umesema vizuri sana mkuu.
Ila Bado Nina doubt kua kweli habari ni Iko very detailed ila unakuta watu 70 tu ...na unakuta yameshaisha masaa labda 10 tangu imeandikwa... something is not okey hapa.
 
Moderator wanakaba sana. Tunahitaji uhuru wa kujieleza
 
Thread au topic za UVCCM za Uongo kila siku, nashauri ukileta mada za Uongo ufungiwe chaaap ili majukwaa yawe ya ukweli
 
Kilichonikwaza zaidi ni ongezeko la Uchawa na Chawa.
 
Umesema vizuri sana mkuu.
Ila Bado Nina doubt kua kweli habari ni Iko very detailed ila unakuta watu 70 tu ...na unakuta yameshaisha masaa labda 10 tangu imeandikwa... something is not okey hapa.
Uko sahihi, mimi pia nimeona hilo, nikiandika nyuzi za mambo yenye tija zinakua na mapokea hafifu. Ila nikileta mambo ya mapenzi na mambo ya kimasihara wachangiaji ni wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…