Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Ni swala la muda tu kijana tulia fanya kama huoni
 
Askofu Gwajima alisema wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Kwa sasa wanaogopa kutumbuliwa wanashindana kumfurahisha mwanamfalme dully
 
Kuna Pepsi ya baridi na candies,nambie ikufikiaje
 
Sio ndege tu...

Hujaona raia wanasogezwa kwenye kampeni na mabehewa ya TRC?
Huwezi fananisha kuwapeleka watu na treni na kutumia vyombo vya Taaisi kama Jeshi.

Treni inaweza kulipiwa watu wakapelekwa maana ndo huduma inazofanya ila haupaswi kutumia vyombo ya Jeshi kuvipiga stika za Chama. Huo ni upuuzi uliotukuka
 
Hawajachukua moja tu,kuna picha zipo utaona MTH-107,MTH-108 na MTH-520 ukijaribu kureserch flight kwa hizo registration hazipo sehem yoyote,kitu pekee utachopata ni chopa iliokua mwanza siku ya kampeni T7-TRXI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…