Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Aisee wewe jamaa.

Acha uongo. Hizo helicopter hazifanani kabisa.

Sijui unanufaika na nini kudanganya watu wakati na wewe ni mtumishi wa uma na upo hapo brela.
Kama nipo Brela njoo unikamate
 
Wakuu wote wa Majeshi wanaripoti kwa viongozi wakuu wa nchi.
Tatizo ni mfumo, mkuu wa jeshi anaripoti kwa nani? wizara ya jeshi inasimamiwa na nani? Je unaweza kumpinga bosi wako? Ikitokea umempinga, unahisi nini kitatokea?
Nb: nafasi ni chache, watu ni wengi.​
Te
 
Aisee wewe jamaa.

Acha uongo. Hizo helicopter hazifanani kabisa.

Sijui unanufaika na nini kudanganya watu wakati na wewe ni mtumishi wa uma na upo hapo brela.
Watoke kujieleza na kurudisha helikopta pale ukonga...waache upuuzo wao Nkunda ni soldier kweli ? Anawaogopa wanasiasa...upuuziii
 
Unazungumzia hili hili lililofagilishwa na Chalamila kwa ajili ya threat atmosphere ya CHADEMA?
Wanajeshi wanaenda kufagia barabarani ili kuitisha Chadema kweli eti na wao wanakubali

Sawa ni amri tena ya asubuhi lakini inategemea ni amri ya kutekeleza kitu gani

wanajeshi gani mnashindwa 'kujongo'
 
Hawajaanza leo kusupport ccm. Ni vile "low key" sana hao mabakamabaka. Enzi za magufuli walipitisha hadi vifaru mitaani na kuanza kufanya usafi kuwatishia tu wananchi wake. Ni Jeshi la ccm sio la wananchi tena!
 
Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?

Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)

Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!

Sawa ulinzi, Sasa hizo sticker za oktoba tunatiki zinafanya nini kwenye helikopta za jeshi zilizonunuliwa kwa pesa za wananchi wote wasio chama kimoja?

What a shitty Army
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100

Updates;
Hadi Helocopter tulizonunua kwa ajili ya Jeshi letu kutoka Ufaransa nazo zinatumika kwenye kampeni za CCM. Mbaya zaidi zinapigwa hadi machata na stickers za CCM.

Kweli JWTZ limetusaliti Watanzania
View attachment 3466121
Ni kawaida yao miaka yote sema mwaka huu ndo mmeamua kuwaongelea
 
SAWA tuuu kwani Kuna ubaya Gani???
Wewe ni mpuuzi uliyetukuka. Sawa ndege za Jeshi la Wananchi kutumika kwa kampeni za CCM na kupigwa mastika ya CCM?

Hulustahili hata kuumbwa binadamu wewe. Ulipaswa kuwa mnyama wa porini kwa akili yako hiyo.
 
Kwani Rais si ndio "mkuu wa majeshi yote" kwa namna katiba ilivyompa mamlaka yasiyo na mipaka...
 
Kwani Rais si ndio "mkuu wa majeshi yote" kwa namna katiba ilivyompa mamlaka yasiyo na mipaka...
Katiba haijampa mamlaka Rais kutumia mali ya vyombo vya Ulinzi kwa shughuli za chama chake au familia yake.
 
Back
Top Bottom