Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Baada ya kuingia kwa katiba hiyo hiyo akaibeza na kuita kijitabu waafrika sio binadamu kamili ni nakubaliana na wabaguzi wa rangi
Wala sio wabaguzi, hao jamaa wapo sahihi kwa 100%, wewe uliona wapi watu wapo mamilion kwa mamilion wanapelekeshwa na kikundi cha watu wasiozidi laki 1.
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
HUO NI UJUMBE KUWA JESHI HALITAKUBALI LILILOMFANYIA KAMPENI ASHINDWE NA PIA KURA ZOTE ZA WANAJESHI NI ZA CCM.
 
Wala sio wabaguzi, hao jamaa wapo sahihi kwa 100%, wewe uliona wapi watu wapo mamilion kwa mamilion wanapelekeshwa na kikundi cha watu wasiozidi laki 1.
Ngozi nyeusi ina laana kabisa watu walipambana kupitia katiba hiyo hiyo ikafuatwa unaingia madarakani kupitia hiyo katiba unasema ni kijitabu ambacho hakina maana nakubaliana na Wewe waafrika sio binadamu kamili
 
Labda umechelewa kujua hili, au labda wamebadili mfumo wa kuitumikia CCM na kujiweka wazi zaidi lakini napenda ufahamu kwamba miaka yote hii, jeshi limekuwa likiisaidia CCM sababu kuna wakubwa wa jeshi nao wana maslahi yao ambayo wanaonahata wakistaafu waishi kwa utajiri mkubwa kushinda askari wadogo.

Kimsingi jeshi limeisaidia CCM kule Zanziba mwaka 2000 wakazingua sana watu mpaka wakakimbilia Mombasa na wengine wakaenda bara la ulaya,. Jeshi hilihili ndiko kura zinakochezewa mchezo aliosema Nape maanakule kambini hakuna wa kuhoji.

Kimsingi tunahitaji mabadiliko makubwa sana kimaadili na kiuongozi kuanzia jeshini, makanisani, misikitini kila angle ili tuweze kulikomboa taifa hili.
 
Maelezo Yako hayaoneshi popote kutumika Kwa JESHI kisiasa
Narudia tena, iwapo jeshi limetengwa kikatiba na siasa, ilikuwaje Magufuli akapokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha? Jambo lile lilifanyika hadharani, hayo ya sirini ni mangapi? Na hiyo helkopta ya kijeshi kwenye kampeni ya ccm, unataka ushahidi gani zaidi?
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Chadomo ondoeni shobo,mlisusa Sasa mnaleta shombo za nini?

Mwisho unaelewa maana ya kushika Dola?
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Matunda ya viongozi waislamu hayo JESHI LIMESHA GEUZWA SHURA YA MAIMAMU NA BAKWATA
 
Hahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?

Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.

Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.

Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.

Amkeni.
Wabongo hawataki kusikia hilo, kuna gharama katika kuikomboa nchi
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Sisi tulio nje ya Nchi kwa sasa hata kujitambulisha kuwa Watanzania tunaona Aibu
 
Tatizo ni mfumo, mkuu wa jeshi anaripoti kwa nani? wizara ya jeshi inasimamiwa na nani? Je unaweza kumpinga bosi wako? Ikitokea umempinga, unahisi nini kitatokea?
Nb: nafasi ni chache, watu ni wengi.​
 
Back
Top Bottom