pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 536
- 2,213
Nguvu nyingi, akili kisodaJeshi linaibiwa hadi Bus zake na ccm 😂 ila hayana akili kabisa haya iyo helicopter amna mtu binafsi alie nayo Tz zaidi ya Jw hawakujua hili ?
Nguvu nyingi, akili kisodaJeshi linaibiwa hadi Bus zake na ccm 😂 ila hayana akili kabisa haya iyo helicopter amna mtu binafsi alie nayo Tz zaidi ya Jw hawakujua hili ?
Kenya na Uganda ni Majeshi na Wizara ndo zinamiliki hizi ndege.Nime conduct OSINT kwenye hili, hakuna publick records zinaonyesha tanzania airforce ina miliki Mil Mi 17 helicopter
Close report ni kwamba 2016, tanzania ili approach russia for purchase ya hiyo hilicopter, but deal lilichelewa and wakachukua france made airbus H225, H125, H215
Currently kuna makampuni private yanamiliki Mil mi -17 na unaweza kukodi
Kuna kampuni kenya afriFlite na nyingine ya uganda.
Based on picha ya kwanza hiyo marking ya helicoptwr si ya tanzania airforce
Sio la Tanzagiza! Washakuwa mdebwedoJeshi kujihusisha na siasa ni suala la hatari sana.
Chezea vyoooote, ila siyo jeshi.
Wananchi wakishakosa imani na jeshi tu, nchi inakuwa haiko salama.
Hahaha unafurahisha sana, unataka mageuzi hutaki kijitolea kuyapigania.Anzisha wewe mkuu itapendeza zaidi
Kwa maelezo haya Uzi ufutwe.Nime conduct OSINT kwenye hili, hakuna publick records zinaonyesha tanzania airforce ina miliki Mil Mi 17 helicopter
Close report ni kwamba 2016, tanzania ili approach russia for purchase ya hiyo hilicopter, but deal lilichelewa and wakachukua france made airbus H225, H125, H215
Currently kuna makampuni private yanamiliki Mil mi -17 na unaweza kukodi
Kuna kampuni kenya afriFlite na nyingine ya uganda.
Based on picha ya kwanza hiyo marking ya helicoptwr si ya tanzania airforce
Kuna kampuni binafsi zinamiliki, kenya ina mfumo tofauti wa kiutawala si jeshi or serikal ndio ina uwezo huoKenya na Uganda ni Majeshi na Wizara ndo zinamiliki hizi ndege.
Tuseme CCM wameikodi kutoka Majeshi ya Kenya au Uganda?
Pole pole ni chizi flani kama wewe na ndio maana kapuuzwa anasikilizwa na wehu wa Chadomo tu.Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
Viapo vyao vipo hivi; watakuwa watiifu kwa "Raisi" na Chama tawala,Watalinda Maslahi ya chama,over.Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
Naam watu hawatafuti details aisee wakajua ukweli, wana respond tu kwa hisiaKwa maelezo haya Uzi ufutwe.
No kweli sio tu Uganda hata Cuba hapo Havana Kuna Shirika la kitaifa linazitumia kisafirishia abiria. Aerogaviota. Linapoga route Hadi Jamaica siku nyingine.
Wasijewakamfanya Mzee wa wahuni akatengeneza kaklip la fastafasta kuwabagaza wanaccm wenzake.
View attachment 3461242
Tatizo usilolijua, hizo picha, videos na taarifa za kutoka ndani ya jeshi zinatolewa na wanajeshi wenyewe wasio kubaliana na yanayoendelea, na kinachoendelea, kuna taarifa nyingi za siri za jeshi zitamwagwa hadharani ili kumtumbukiza kwenye shimo zaidi uyu mkuu wa majeshi, watu wamechoka mkuu, na wanajeshi nao ni watu, wameshindwa vumilia huo upuuzi mpaka wanatuma videos kwa mangi kimambi, unafikiri hao ni raia?, ni wanajeshi, hii ngoma ilipofikia ni kupigishana shoti wenyewe kwa wenyewe, the last man standing ndo mshindi, Mama anaweza kutoboa hii 2025, ila kufika 2030 sina uhakika.Maadisa PEO waliondolewa baadae, generation ya akina JK ndio ilikuwa ya mwisho mwisho kwenye hizo nafasi.
Ulikuja utaratibu mpya wa kutoka kuhusishansiasa na shughuli za jeshi, kwa wale wali serve baada ya mabadiliko hayo wanaelewa. Na hii ilitungiwa sheria rasmi
Hapo hamna helicopter ya jeshi yenye mark ya tanzania airforce, watu wamekuwa emotional sana kuamini kila picha inayotumwa
We si poyoyo hakuna asiekujua humu .Sisi tulio nje ya Nchi kwa sasa hata kujitambulisha kuwa Watanzania tunaona Aibu
Mimi niliiona nikashtuka siku ya uzindizi ila kuja kufuatilia ziko dunia nzima kama ndege za kiraia tu. Nikakumbuka jamaa wanampunga kama B50 hivi hawashindwi kukodi hata nje ya nchi.Naam watu hawatafuti details aisee wakajua ukweli, wana respond tu kwa hisia
Wewe nae si ponjolo unaezurura ulayaWe si poyoyo hakuna asiekujua humu .
ShoboWewe nae si ponjolo unaezurura ulaya
Kwa makusudi kabisa unataka kuongopaNime conduct OSINT kwenye hili, hakuna publick records zinaonyesha tanzania airforce ina miliki Mil Mi 17 helicopter
Close report ni kwamba 2016, tanzania ili approach russia for purchase ya hiyo hilicopter, but deal lilichelewa and wakachukua france made airbus H225, H125, H215
Currently kuna makampuni private yanamiliki Mil mi -17 na unaweza kukodi
Kuna kampuni kenya afriFlite na nyingine ya uganda.
Based on picha ya kwanza hiyo marking ya helicoptwr si ya tanzania airforce
Kama za baba yakoShobo
Nyie watu ni either kea makusudi au kwa kutokujua mnaamua kuongopaMimi niliiona nikashtuka siku ya uzindizi ila kuja kufuatilia ziko dunia nzima kama ndege za kiraia tu. Nikakumbuka jamaa wanampunga kama B50 hivi hawashindwi kukodi hata nje ya nchi.