matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kuhusu kuwepo au kutokuwepo sijui. Ila kuhusu kuwepo Mi17 zinazotumika na mashirika binafsi ya kiraia zipo karibu Kila kona duniani.Nyie watu ni either kea makusudi au kwa kutokujua mnaamua kuongopa
Hiyo helicopter ipo na mawaziri wengi hutumia kwenye kukagua miradi, bashe aliitia, nape aliyotumia, bashingwa aliitumia, waziri mkuu alitumia na hivi karibuni waziri wa ujenzi ulega aliitumia
View attachment 3461264
Hivyo kuwepo Bado bila KUWA na ushahidi wa kushiba hatuwezi kusema ndio hiyo au wamekodi kwingineko. Kimsingi binafsi huwa sipendi kuamini hearsay. Labda kama Kuna kilimganishi maana ile imeJaa stickers tunajuaje mzee