Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Mtandao kazini
 
Ishu sio kumpa ulinzi ishu zinaonekana zikiwa na kampeni
Hata hivyo tangu mwaka 1964 baada ya jaribio la mapinduzi, wanajeshi wote lazima wajulikane sawasawa kabla ya kusajiliwa jeshini. Na mafunzo ya siasa jeshini yalikuwa yakitolewa na Afande PEO, na kadi ya chama tawala ni lazima upewe wewe askari. Unashangaa leo, wewe ni wawapi? Hata hivyo, hizi ndege hazina alama kuwa ni za jeshi lolote hapa tanzania. Hata chadema walikuwa wanatumia ndege kama hizi kwenye kampeni zao, kwani nao walizitoa jeshini. hata hivyo Rais lazima alindwe bhana wewe. Hata kama Rais angekuwa TAL katika kipindi kama hiki lazima angefanya hivihivi hasa pale unapowasikiliza akina Polepole na Gwajima.
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Jeshi lilikuwa linatumiwa kwa siri na ccm, ila alipoingia Magufuli madarani likaanza kutumika waziwazi. Nakumbuka kuna siku Magufuli alipokea wanacdm waliohama na kuhamia ccm kwenda kuunga juhudi. Pale ndio nilijua hamna jeshi kwa maana ya katiba. Kwa sasa ni muendelezo tu.
 
Jeshi kujihusisha na siasa ni suala la hatari sana.

Chezea vyoooote, ila siyo jeshi.

Wananchi wakishakosa imani na jeshi tu, nchi inakuwa haiko salama.
mkuu wa majeshi ni handpicked na Rais ambaye ni amirijeshi mkuu (boss of the bosses), CDF atakataaje amri ya bosi wake?? tatizo ni mfumo ulivyo, rais hata akiwa ana kampeni ya kuingia next term, yey bado ni amirijeshi mkuu, it is complicated than we think
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Ndo maana Kagame anatupa kichapo mpaka tumekimbia kwa ajili ya huu usenge 😅🤣🤣🤣🤔🤔
 
Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.

Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.

Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.

Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.

Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.

Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Kwani lini hilo jeshi lenu lilikuwa mbali na fisiemu ?
 
Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
 
Hahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?

Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni maheshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.

Angalueni Syria imejikomboa kutoka mikojo ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.

Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.

Amkeni.
Una hoja sana
 
Vyombo vya dola visimamie viapo vyao Tanzania kwanza nashangaa tuhuma zote za Polepole anazotoa hakuna aliyekamatwa hata mmoja kufanya nae maojiano hii nchi Inaitaji reforms
Hao wakina polepole ndio walitakiwa kukamatwa maana walitaka Samia asiwe rais baada ya kifo cha jiwe kinyume cha utaratibu, kanuni, Sheria na Katiba
 
Jeshi la Tanganyika lilikufa tu baada y Azimio la Arusha kutupwa nje n CCM. Na usalama w TAIFA pia.wako upande w wawatawala.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Jeshi lilikuwa linatumiwa kwa siri na ccm, ila alipoingia Magufuli madarani likaanza kutumika waziwazi. Nakumbuka kuna siku Magufuli alipokea wanacdm waliohama na kuhamia ccm kwenda kuunga juhudi. Pale ndio nilijua hamna jeshi kwa maana ya katiba. Kwa sasa ni muendelezo tu.
Maelezo Yako hayaoneshi popote kutumika Kwa JESHI kisiasa
 
Back
Top Bottom