Uko mkoa gani?Nipe location nije na familia yangu kabisa
Uko mkoa gani?Nipe location nije na familia yangu kabisa
Kila mtu amepanga foleni uvcc awe mkuu wa wilaya, wao wanajiita wazalendo kumbe wajinga na wehu tu, watoto wa watawala wanapewa kila kitu wao kazi yao kuvishwa minguo ya kijani asubuhi hadi usiku.Hawawezi kukuelewa hawa wehu wanafikiri madaraka utapewa kwenye sahani
JESHI NI CCM KINDAKI NDAKI TANGU UHURU NA HAIJAWAHI KUWA TOFAUTI.Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Mbona haijawahi kutokea kwa Maraisi wengine waliopita,wakati wanafanya kampeni?Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?
Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)
Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
Jeshi ta Tanzania sasa limekuwa kama jeshi la Kongo, hamna lolote. Sikutegemea kama jeshi letu pamoja na kupata habari za uhakika dhidi ya uhujumu uchumi wa CCM wakafanya ujinga huu.Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi.
Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised.
Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi letu aina ya Mi 17 zikitumika kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi.
Inasikitisha zaidi sasaivi vijana waliopo kwenye Makambi ya Jeshi wanatolewa kwenda kujaza watu kwenye mikutano ya CCM.
Jeshi linapofikia hapa ni dhahiri kuwa Watanzania hatuna tena Jeshi la Wananchi. Tuna kikundi cha Wanajeshi kinachotumika kwa maslahi ya CCM.
Tumekwisha
Chini ni picha za ndege Jeshi aina ya Mi 17 ambayo moja yake CCM wameichukua kwa matumizi yao.
View attachment 3461094View attachment 3461100
Level hii bado sana kuwapata wabongo,kama wanaogopq hata virungu na mabuti ya FFU ndio utawapeleka porini wapambane na silaha kali za kivita?Hahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?
Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.
Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.
Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.
Amkeni.
Inasikitisha sana, ila ukiangalia kwa jicho la kiroho (spiritual eye) unaweza ukawa ni mpango wa Mungu, yaani zile taasisi nyeti (Usalama, Jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi) ambzo zingekuja kuzuia raia siku ambayo hasira zao zimeamka kuutoa utawala, ni kama zimeanza kuvuliwa nguo na kuchonganishwa na Raia, na pengine kugawanyika.Jeshi ta Tanzania sasa limekuwa kama jeshi la Kongo, hamna lolote. Sikutegemea kama jeshi letu pamoja na kupata habari za uhakika dhidi ya uhujumu uchumi wa CCM wakafanya ujinga huu.
Una hoja usikilizwe ili kuanzisha jeshi labla ndani ya jwtz watokee wakuasi ili ligawanyike. Ila kuanzia chini ngumu watakudaka na kukupoteza mazimaHahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?
Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.
Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.
Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.
Amkeni.
Nani kaipa kibali cha kuingia nchini? CCM wana uwezo wa kukodi helicopter kutoka jeshi la Czech?VYANZO VYA KANZIDATA ANGA NA KIJESHI VINASEMA
Helicopter inayoonekana kuzunguka na bendera ya kampeni ya Samia ni ndege ya majeshi ya anga ya Jamhuri ya Czech.
Czech Air Force Mi-171Sh
Helicopter
BORT NUMBER
9868
SERIAL NUMBER
59489619868
FIN FLASH
(BENDERA KWENYE MKIA)
CZECH REPUBLIC
ROUNDEL
(BENDERA UBAVUNI)
CZECH REPUBLIC
Na kwa taarifa yako huu mfumo nduo u ao ifanya Tanzania iwe na amani hadi sasamkuu wa majeshi ni handpicked na Rais ambaye ni amirijeshi mkuu (boss of the bosses), CDF atakataaje amri ya bosi wake?? tatizo ni mfumo ulivyo, rais hata akiwa ana kampeni ya kuingia next term, yey bado ni amirijeshi mkuu, it is complicated than we think
Nadhan mfumo wa vyama vingi Tanzania Umekosa Tija. Itafutwe njia mmbadala. Kwa nje ni kama tunamfumo wa vyama vingi lakini kwa ndani ,vyama vya upînzani havitakiwHahaha unafurahisha sana.
Sasa jeshi ni la ccm litatumiwa na nani kama siyo ccm?
Niliwaambia achaneni na vyama anzisheni majeshi ya ukombozi kama M23, Taliban, Hamas, Houthis.
Angalieni Syria imejikomboa kutoka mikono dhalimu ya Al Asaad, hawakufunga Novena wala hawa kusali, walipigania uhuru wao.
Nyie mnadanganywa na demokrasia wao ccm wana majeshi na yanawalinda na kulinda maslahi yao.
Amkeni.
Mkuu reforms ni muhimu, kutenganisha explicitly shughuli za chama kutoka shughuli za serikali.Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu?
Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass)
Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
kuna amani Tanzania?? au amani kwako ni "absence of war/anarchy"??Na kwa taarifa yako huu mfumo nduo u ao ifanya Tanzania iwe na amani hadi sasa
kama ni hivyo, basi u must be an imbecilic disgusting animal