Nini kimemkuta Haaland katika siku za karibuni?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI”

Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB kikosini ndio maana nae mambo hayaendi vizuri?

1697070947262.jpeg

Nilitaka nikupe jibu lakini kumbe ushaliandika....
Tatizo ni KDB...
Na Ile game ya arsenal kukosekana Kwa Rodrigo ndo mambo yakawa magumu zaidi....
Hata hivo Tembo hata akikonda awezi kua ndama still Haaland ndie top scorer ana Goli 8 Katika mechi nane it means Kwa average kila mechi ana Goli moja ..
 
Hata arsenal walimkosa bukayo saka kwa hyo tuache visingizio huyo rodri na kdb hawachezi peke yao
 
Man city walicheza kama wamelazimishwa. Timu haipigi pasi zikafika.

Back pass za kutosha,Foden akiiomba mtu karudisha nyuma.

Benardo Silva alikuwa hapandi ,kule mbele Alvarez akipata mpira anawaza kumzidi Haaland piga hovyo hovyo.

Kati palipwaya sana wambele wambele wa nyuma wa nyuma. Kovacic ndio kabisa anacheza rafu tu.

Doku aliingia dakika za lala salama kama namba 7 chenga zikakataa. Akahamia namba 11 pia patupu akabaki kupigwa tobo tu. Labda ilitakiwa awahi kama dkk ya 60 hivi.

Ila mechi nzima ilipoa sana.
 
Hata arsenal walimkosa bukayo saka kwa hyo tuache visingizio huyo rodri na kdb hawachezi peke yao
[emoji2] eti hawachezi pekeyao.! Hivi unajua athari ya kuwakosa playmaker wawili Kwa wakati mmoja?
Leo hii saka akikaa nje pale arsenal athari take n ndogo kuliko Rodrigo pale city.. kama unaleta ushabiki huwezi nielewa..
#Delulu is only solulu
 
Back
Top Bottom