Man city walicheza kama wamelazimishwa. Timu haipigi paso zikafika. Back pass za kutosha,Foden akiiomba mtu karudisha nyuma. Benardo Silva alikuwa hapandi ,kule mbele Alvarez akipata mpira anawaza kumzidi Haaland piga hovyo hovyo.
Kati palipwaya sana wambele wambele wa nyuma wa nyuma. Kovacic ndio kabisa anacheza rafu tu.
Doku aliingia dakika za lala salama kama namba 7 chenga zikakataa. Akahamia namba 11 pia patupu akabaki kupigwa tobo tu. Labda ilitakiwa awahi kama dkk ya 60 hivi.
Ila mechi nzima ilipoa sana.