Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nilitaka nikupe jibu lakini kumbe ushaliandika....Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI”
Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB kikosini ndio maana nae mambo hayaendi vizuri?
Hata arsenal walimkosa bukayo saka kwa hyo tuache visingizio huyo rodri na kdb hawachezi peke yaoNilitaka nikupe jibu lakini kumbe ushaliandika....
Tatizo ni KDB...
Na Ile game ya arsenal kukosekana Kwa Rodrigo ndo mambo yakawa magumu zaidi....
Hata hivo Tembo hata akikonda awezi kua ndama still Haaland ndie top scorer ana Goli 8 Katika mechi nane it means Kwa average kila mechi ana Goli moja ..
[emoji2] eti hawachezi pekeyao.! Hivi unajua athari ya kuwakosa playmaker wawili Kwa wakati mmoja?Hata arsenal walimkosa bukayo saka kwa hyo tuache visingizio huyo rodri na kdb hawachezi peke yao
[emoji28][emoji28][emoji28]eti baleke aliechangamkaHaaland Bila KDB ni Baleke aliyechangamka