Nini kimemkuta Haaland katika siku za karibuni?

[emoji2] eti hawachezi pekeyao.! Hivi unajua athari ya kuwakosa playmaker wawili Kwa wakati mmoja?
Leo hii saka akikaa nje pale arsenal athari take n ndogo kuliko Rodrigo pale city.. kama unaleta ushabiki huwezi nielewa..
#Delulu is only solulu
We unadhani kwa kiwango cha saka angekuwepo pale matokeo yangebaki vile kaingia partey tu kabadilisha mchezo unadhani angeingia saka ingekuwaje team zote zilikosa wachezaji wake muhimu
 
Huwa inatokea, hao ni wanadamu sio maroboti ndio maana waingereza wana msemo wao “Form is temporary but class is permanent”
 
Huko ndiyo kukabwa na kuzidiwa
 
yule bila kupewa mapande ya space hana lolote, sasa hivi aliyekuwa anamlisha kaumia - Kevin De Bruyne
 
We unadhani kwa kiwango cha saka angekuwepo pale matokeo yangebaki vile kaingia partey tu kabadilisha mchezo unadhani angeingia saka ingekuwaje team zote zilikosa wachezaji wake muhimu
Punguza mapenzi, Saka hajafikia Kiwango Cha kusema ati asipokuwapo team haishindi. Saka Hana level ya kutafuta excuse Kwa timu serious. Na Labda tuseme wachezaji karibu wote wa Asernal ni average players, hakuna aliye na upekee Kwa timu kupata au kukosa matokeo. Siyo sawa na Son Tot. Spurs, Mo. Salah Liverp, KDB Mun. City, Mbappe PSG, etc. Ingawaje pia hata hawa matokeo yanaweza kuwa yoyote wakiwapo ama wasipokuwapo.
 
Game ya Community shield Rodrigo alikuwepo na KDB aliingia baadae, lakini Haland alitoka na expected goal 0 kama game ya juzi. You know what? It's William Saliba
 
Ila alitiwa kwa pocket na Saliba juzi kati mpaka nikabaki nacheka tu.
 
KDB injury, Rodri injury, Grealish haanzi...walimuuza Joao Cancello, Gundogan waliruhusu aondoke, Kyle Walker umri,.. Bernardo Silva kachoka... anyways nifupishe tu kwa kusema kwamba Halland amekuja City kipindi ambacho ndo inaondoka kwenye ubora wake baada ya kupata mafanikio makubwa na wachezaji walewale kwa muda mrefu... wengi wana fatigue ya kucheza kwenye viwango vyao vya juu consecutively for more than 5 years now...wamechoka that's why trip moja shamba trip moja garage.... wachezaji wengi wapya kwenye kikosi na ni wachanga ndo kwanza wanaanza kujitafuta..Pep anajaribu kupanga wa zamani na wapya kuna muda combination zinakubali kuna muda zinakataa kulingana na opponents wanaekutana nae....kwa umri wa Halland bado ana nafasi ya kufunga sana endapo Pep atapata suluhisho sahihi la hao niliowataja including KDB&Rodri pale wanapokosekana
 

Premier League Top Scorers​

Search​

Enter a team or competitionSearch
Your recent searches will appear here.
Don't worry, you can clear these at any time.
RankNameGoalsGLAssistsAPlayedPGoals per 90Mins per GoalMPGGoal ConversionShot Accuracy
1Erling HaalandHaaland
Manchester CityMan City
8181.028929%64%
2Alexander IsakIsak
Newcastle UnitedNewcastle
6071.147940%73%
2Son Heung-minSon Heung-min
Tottenham HotspurTottenham
6080.8610538%69%
4Mohamed SalahSalah
LiverpoolLiverpool
5480.6613724%57%
 
Jana halaand ametupia 2 huko Norway [emoji1189] ukame umeanza kukata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…