Nini kimemkuta Mshana Jr?

Ishhhh mihemko bana, kwamba mshana kuna baadhi ya ma jukwaa hatakiwi kuchangia???
Mshana mwambie sponsor anaekupa bando aache make kaanza masharti
 
Hahaha inawezekana hii ni fake id ya mshana jr saa hii atakuwa makapuku [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji81]
 
Duh rahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nipo ndugu yangu..kuna watu watakushambulia hata kukudhihaki..utaambiwa mimi ni wewe kwa ID nyingine pia...usijali wala kubishana na yeyote
Niliingia JF kupitia lango kuu la MMU, kisha nikaenda photos halafu intelligence ila kwasasa nimepumzika kidogo ndio maana unaona niko kwenye umbea kidogo na refresh mind au siasani kutafuta stress
Nitarejea kwenye mada zetu likizo ikiisha kwahiyo kuwa mvumilivu na asante kwa kujali kwako
 
mtu akiwa huku anajiona kuwa ana akili sana hii sijui inasababishwa na nini,ila humu wengi ni vilaza kama vilaza wengine tu na kipimo cha hili ni pale mtu anapoleta hoja kunakuwa na reply nyepesi sana kama zinazoonekana huko juu,an empty mind is always defensive,kama lilivyo bomba tupu linavyopiga kelele nyingi.
 

nimejifunza kitu hapa... ahsante
 
Wewe ni kichwa Panzi kweli kweli,sasa kama kumuulizia huyo mganga wako si ungemuulizia huko huko unakodai anakoonekana kwenye majukwaa anapiga umbea? ungemuandikia comment huko huko! lakini lengo lako halikua hilo na tumekuelewa,halafu huyo sio wakutafuta kihivyo coz anashinda humu kutwa kucha!!
 

Mpendwa umeachika nini mbona mapovu namna hiyo??

Piga konde moyo...mlango mmoja ukifugwa mwingine unafunguka, ni wewe tu tangaza fursa watu wajimwaemwae
 
Siku za mwisho mambo mengi hujitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…