Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ungem-PM tu, yan watu watu wengine vichwa panzi kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ungem-PM tu, yan watu watu wengine vichwa panzi kweli
Aliuuza ID yake, yeye kafungua ID mpya anajiita POPOMA.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aliuuza ID yake, yeye kafungua ID mpya anajiita POPOMA.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji81]Hahaha inawezekana hii ni fake id ya mshana jr saa hii atakuwa makapuku [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Imeshaunganishwa na nyingineMshana yyupo kwenye Harusi ya Masanja
Atakuja
Ila mleta mada iyo picha ya mdada inachekesha kweli
Ungemuonesha na kwenye miguu,duhh
Duh rahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr,nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi,ushirikina,imani za kidini na masuala mengine nyeti.
Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.
Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.
Tafadhali rudi kwenye ubora wako mshana jrView attachment 382729
Nipo ndugu yangu..kuna watu watakushambulia hata kukudhihaki..utaambiwa mimi ni wewe kwa ID nyingine pia...usijali wala kubishana na yeyoteMoja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr,nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi,ushirikina,imani za kidini na masuala mengine nyeti.
Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.
Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.
Tafadhali rudi kwenye ubora wako mshana jrView attachment 382729
umejibu vizuri,siyo hawa wanatoka povu tu hapaAliuuza ID yake, yeye kafungua ID mpya anajiita POPOMA.
Hapana ni upendo tu wala sio juju..Mshana jr kweli uchawi wako kiboko. Ona sasa watu wanavyo mangamanga. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ongeza dozi mkuu. You could have been an emblem in JF, mkuu.Hapana ni upendo tu wala sio juju..
Nipo ndugu yangu..kuna watu watakushambulia hata kukudhihaki..utaambiwa mimi ni wewe kwa ID nyingine pia...usijali wala kubishana na yeyote
Niliingia JF kupitia lango kuu la MMU, kisha nikaenda photos halafu intelligence ila kwasasa nimepumzika kidogo ndio maana unaona niko kwenye umbea kidogo na refresh mind au siasani kutafuta stress
Nitarejea kwenye mada zetu likizo ikiisha kwahiyo kuwa mvumilivu na asante kwa kujali kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongeza dozi mkuu. You could have been an emblem in JF, mkuu.
Wewe ni kichwa Panzi kweli kweli,sasa kama kumuulizia huyo mganga wako si ungemuulizia huko huko unakodai anakoonekana kwenye majukwaa anapiga umbea? ungemuandikia comment huko huko! lakini lengo lako halikua hilo na tumekuelewa,halafu huyo sio wakutafuta kihivyo coz anashinda humu kutwa kucha!!mtu akiwa huku anajiona kuwa ana akili sana hii sijui inasababishwa na nini,ila humu wengi ni ****** kama ****** wengine tu na kipimo cha hili ni pale mtu anapoleta hoja kunakuwa na reply nyepesi sana kama zinazoonekana huko juu,an empty mind is always defensive,kama lilivyo bomba tupu linavyopiga kelele nyingi.
mtu akiwa huku anajiona kuwa ana akili sana hii sijui inasababishwa na nini,ila humu wengi ni ****** kama ****** wengine tu na kipimo cha hili ni pale mtu anapoleta hoja kunakuwa na reply nyepesi sana kama zinazoonekana huko juu,an empty mind is always defensive,kama lilivyo bomba tupu linavyopiga kelele nyingi.
Siku za mwisho mambo mengi hujitokezaMoja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr,nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi,ushirikina,imani za kidini na masuala mengine nyeti.