Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Hata kama humpendi huyu jamaa ila tambua kipaji chake tu basi,,,baadae, tupogo, ndagushima aliwashirikisha mastaa gani?????
 
Ommy alikuwa anamdhihaki mond wakati anataka kutoa wanjera,,alijua ameweza...hakuangalia wametoka wapi,,,akakubali mawazo ya madam...sasa naona ile dhambi inamtafuna..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inamtafuna haswaa

maana diamond ukiwa karibu nae tu lazima ufanikishe
anaonekana sio mchoyo.. uvivu wako tu labda
siunaona watto wake wale wanavopasua
kina shetta, ney
 
Hata kama humpendi huyu jamaa ila tambua kipaji chake tu basi,,,baadae, tupogo, ndagushima aliwashirikisha mastaa gani?????
Ommy anajua sana yani alikuea akiachia wimbo unahit mwaka mzma anapga show.
Ni msanii ambaye amewika na akavuna pesa kwa nyimbo chache.
Ila inaelekea ana maringo na mambo ya kike kike wakati ye mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…