Savimbi JB
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 378
- 343
Hata kama humpendi huyu jamaa ila tambua kipaji chake tu basi,,,baadae, tupogo, ndagushima aliwashirikisha mastaa gani?????ommy dimpoz, ni msanii mwenye uwezo mdogo sana kimziki..Kitu kilichombeba dimpoz ni kushirikisha wasanii wakali katika ngoma zake za mwanzo ndio aka-shine.. Hata wimbo uliomtoa kimziki alimshirikisha msanii mkubwa ndio akatoka.. Mastaa kama diamond na Kiba wapo juu kwani walifanikiwa kutoka kwa juhudi zao.