Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
-
- #161
Umenichekesha sanaEti wanasema jina la meneja wake wa mwanzo ndilo lilikuwa linanogesha wimbo pale linapotajwa....
"Mobeenga"
Sasa siku hizi sijui anamtajaga Lizaboni...
Kipindi hiki sijamuona kufanya show yeye mwenyewe binafsi,hii nayo itamgharibu kama siku kiba atamwacha,ndio itakuwa basi tena.Ommy anaharibu anapojifanya kila kitu lazma afanye na Kiba.
kiba kaowa sidhani kama wataendelea kupumuliana.Kipindi hiki sijamuona kufanya show yeye mwenyewe binafsi,hii nayo itamgharibu kama siku kiba atamwacha,ndio itakuwa basi tena.
Duh...alikataa kujiunga WCB mond akamuwekea vikwazo vya kutoka kimuziki