Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Anasema Diamond alimuibia ile collable na Divido, ndio maana kaamua kuvaa viatu vya kike kupunguza stresstress
 
Ommy anaharibu anapojifanya kila kitu lazma afanye na Kiba.
Kipindi hiki sijamuona kufanya show yeye mwenyewe binafsi,hii nayo itamgharibu kama siku kiba atamwacha,ndio itakuwa basi tena.
 
Mobenga..yani nilikua naenjoy kutaja ilo jina ila sasa hivi mh
 
Back
Top Bottom