Nini kimempata Aslay, Nyimbo zake kwa sasa zina shida gani?

Alikuwa anatungiwa mashairi
 
Anaimba theme ile ile, ujumbe ule ule, beat ni zile zile obviously ni lazima style watu waichoke inabidi awe ana badirika flani hivi.
 
WCB wamuokoe kijana,wameeza kwa mboso na hatukutegemea.Naamini hata hapa wataweza pia
 
TATIZO NI PROMO mkuu,ebu fatilia kama OSATA hawjatia mkono.
 
Anaimba theme ile ile, ujumbe ule ule, beat ni zile zile obviously ni lazima style watu waichoke inabidi awe ana badirika flani hivi.
Amekosa washauri na hata wanao mshauri wana mshauri yale yale....
 
Aliondoka na kidaftari cha nyimbo za yamoto akatoa album. Kidaftari kimeisha sasa ndio maana hana jipya tena
 
Aliondoka na kidaftari cha nyimbo za yamoto akatoa album. Kidaftari kimeisha sasa ndio maana hana jipya tena
hahahaha aisee sasa arudi kwa Mbosso akamfunndishe
 
TATIZO NI PROMO mkuu,ebu fatilia kama OSATA hawjatia mkono.
Kwenye promo na kataa kabisa maana promo anapewa sema kuna shida sehemu nyingine naweza kukubaliana na wanaosema kuwa ana maudhui yale yale kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…