nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Aslay ni mwanamziki mzuri sana ila hana mbinu za kujiweka juu. Angepata management yenye uwezo wa kujua mabadiliko ya hali ya hewa, angekua mbali sana. Na wala tusingeongelea mambo ya kiki kama za kaka yenu.Hamorapa yule pale akajifanya mpaka kavunjika mkono kaweka POP kwenye uzinduzi wa Wema lkn wapi. Ukifanya mziki wa style moja watakuchoka, hata Rayvany na harmonize wamelijua hili wanatoa nyimbo zenye midundo, msg na mahazi tofauti. Alafu hii kutukana si anatumia tafsida, mbona akina Matona na Bi kidude washatumia sana au akitumia Diamond dhambi. Wewe kama unampenda jamaa mwambie abadilike, mziki haumsubiri yy.
Pia anajiweka simple sana kitu ambacho wabongo wengi hamkipendi. Nyie mnapenda mashow off na majivuno plus maskendo ya mademu.
Hata tungeenda mbali vipi, issue inabaki kwetu walaji wa mwisho. Tuna support muziki mzuri? Au tunaangalia team zetu