Nini kimempata Aslay, Nyimbo zake kwa sasa zina shida gani?

Hamorapa yule pale akajifanya mpaka kavunjika mkono kaweka POP kwenye uzinduzi wa Wema lkn wapi. Ukifanya mziki wa style moja watakuchoka, hata Rayvany na harmonize wamelijua hili wanatoa nyimbo zenye midundo, msg na mahazi tofauti. Alafu hii kutukana si anatumia tafsida, mbona akina Matona na Bi kidude washatumia sana au akitumia Diamond dhambi. Wewe kama unampenda jamaa mwambie abadilike, mziki haumsubiri yy.
Aslay ni mwanamziki mzuri sana ila hana mbinu za kujiweka juu. Angepata management yenye uwezo wa kujua mabadiliko ya hali ya hewa, angekua mbali sana. Na wala tusingeongelea mambo ya kiki kama za kaka yenu.

Pia anajiweka simple sana kitu ambacho wabongo wengi hamkipendi. Nyie mnapenda mashow off na majivuno plus maskendo ya mademu.

Hata tungeenda mbali vipi, issue inabaki kwetu walaji wa mwisho. Tuna support muziki mzuri? Au tunaangalia team zetu
 
Wengine wakifanya fresh lakini akifanya Diamond ni Dhambi Hahahaha maisha bila unafiki hayaendi
 
Aslay ni mwanamziki mzuri sana ila hana mbinu za kujiweka juu. Angepata management yenye uwezo wa kujua mabadiliko ya hali ya hewa, angekua mbali sana. Na wala tusingeongelea mambo ya kiki kama za kaka yenu.

Pia anajiweka simple sana kitu ambacho wabongo wengi hamkipendi. Nyie mnapenda mashow off na majivuno plus maskendo ya mademu.

Hata tungeenda mbali vipi, issue inabaki kwetu walaji wa mwisho. Tuna support muziki mzuri? Au tunaangalia team zetu
Kwanza hamna sehemu niliyosema Aslay mbaya, ila tatizo lake ni kuimba nyimbo zinazofanana kuanzia msg, melody mpaka biti, mm kwangu nyimbo nzuri ya mwisho kutoka kwa Aslay ni Nibebe lkn hizi nyingine tatu alizozitoa juzi zote hovyo. Vannessa yule pale ana management gani, mziki wake ana upush mwenyewe lkn anabadilika badilika na bado anafanya vizuri au mtizame maua Sama nyimbo zake nyingi, zilikuwa na mahazi ya mbele, vingereza vingi, sasa angalia alivyoifumua IOKOTE sasa anatrend yy sababu amewashtua watu, alafu raha ya msanii usizoeleke , sasa mjaze ujinga ndio tutamsahau kabisa.
 
Hakuna waimbaji wala watunzi wa nyimbo, wawili hawa wamepoteza muelekeo.... Sijaona Muimbaji yeyote ambae kwasasa anaweza kuuteka muda wangu kwa kuskiliza nyimbo zao. "UPUUZI MTUPU".
 
Kwangu mimi nyimbo nzuri ya mwisho toka kwake ni 'Natamba' the rest hakuna kitu.

Abadilike tokana na game vile inaenda... Sa hivi hawabembelezi sana.
Kabisa mkuu
 
Clouds wamembeba sana then wakamdondosha mana ashatumiwa kama T***** paper
 
haters tu kwa kila kitu, dogo mbona yuko vizuri sana! wimbo mpya wa kwatu inapasua anga
 
Kwenye promo na kataa kabisa maana promo anapewa sema kuna shida sehemu nyingine naweza kukubaliana na wanaosema kuwa ana maudhui yale yale kila kukicha
WCB WANAJUA PROMO SANA isingekuwa promo yule mpemba angekuwa na hali mbaya sana
 
Clouds wamembeba sana then wakamdondosha mana ashatumiwa kama T***** paper
Acheni kuwpakazia watu mbona hata vituo vinginr vilikuwa vinapga sana nyimbo zake au navyo vimemtumia vikambwaga, jamaa habadiriki lazima raia zimchoke kwakuwa kuna madogo wanakuja kwa kasi. ila mbona hata fiesta wamemchukua leo atakuwa mwanza.
Sma mziki wa Tanzania watu wanaigana nikimsikiliza Marioo naona anaimba exactly kama Mboso key ile ile. Mwanzoni nilikuwa nadhani nyimbo za Marioo ni Mboso hadi nikawa nasema kumbe clouds wanapiga nyimbo za Mbosso
 
Mkuuu hivi wew clouds unawajuwa??? Ndo wanao haribu sana ta tanzania

Hapana n mawazo yenu maana Tanzania kuna redio zaidi ya 50, kwanini redio nyingine zifuate trend ya clouds. Mfano wakati msanii flani yuko hot nyimbo zake zinapigwa clouds utakuta zinapigwa pia EFM, Times, EA radio, wakiacha kupiga kwanini na hao wengine waache kuzipiga? kwani clouds ndiyo wanaamua?
 
Nyimbo zake bado ni Kali, shida ni moja tu ufanano wa nyimbo lazima watu wakuchoke hata kama unafanya nyimbo nzuri. Ni kwanini anashindwa kufanya nyimbo za amshaamsha kama alivyofanya kwenye ule 'natamba'?
 
Tatizo dogo aliachia ngoma nyingi sana within short period of time,nyimbo alizokwisha zitoa angekua anatoa kila moja kwa kila baada ya miezi hata sita tu angekua bado anavuma sana shida akitoa huu haujasikika anatoa mwingine na wabongo kwa kuhama hodari unaachwa wa kwanza watu wanadeal na wa pili,muhimu angeacha watu wammiss
Tulimwambia hakutaka kusikia
 
yote yaliyochangiwa humu ni relevant as far as Aslay's music is concerned!
 
Hamorapa yule pale akajifanya mpaka kavunjika mkono kaweka POP kwenye uzinduzi wa Wema lkn wapi. Ukifanya mziki wa style moja watakuchoka, hata Rayvany na harmonize wamelijua hili wanatoa nyimbo zenye midundo, msg na mahazi tofauti. Alafu hii kutukana si anatumia tafsida, mbona akina Matona na Bi kidude washatumia sana au akitumia Diamond dhambi. Wewe kama unampenda jamaa mwambie abadilike, mziki haumsubiri yy.
Bi Kidude aliimba 'Muhogo wa Jang'ombe' hadi Leo hii wanamuita legend, akiimba Diamond wanamuita Freemason[emoji3][emoji3]
 
Nyimbo zake bado ni Kali, shida ni moja tu ufanano wa nyimbo lazima watu wakuchoke hata kama unafanya nyimbo nzuri. Ni kwanini anashindwa kufanya nyimbo za amshaamsha kama alivyofanya kwenye ule 'natamba'?
Upo sahihi kwa 100%
Tatizo la asley ni mfanano was nyimbo zake kuanzia maudhui, Melody Hadi Aina za video anazotoa
Ukiangalia kwatu, pusha, nilewe, shemeji yaani script za video zote zinafanana japo sio mbaya kuchukua video mazingira ya vijijini lakini atleast kuwe na utofauti.
 
Nyimbo zake znafanana kuanzia beats had melody.....binafsi hata hiyo nyimbo mpya sitak kuiskia nahis beat na melody ni zile zile tu...

Sema Natamba ngoma kal sana.
 
Upo sahihi kwa 100%
Tatizo la asley ni mfanano was nyimbo zake kuanzia maudhui, Melody Hadi Aina za video anazotoa
Ukiangalia kwatu, pusha, nilewe, shemeji yaani script za video zote zinafanana japo sio mbaya kuchukua video mazingira ya vijijini lakini atleast kuwe na utofauti.
Hana kipya cha kuwapa mashabiki
 
Namshauri asitoe nyimbo kwa miezi mitatu au minne ili ajipange na aangalie waliofanikiwa walifanyaje
 
Back
Top Bottom