Nini kimempata Aslay, Nyimbo zake kwa sasa zina shida gani?

Aanze tu kujishusha wakati yeye ndio alikua anajifanya aonekana kalibeba kundi wengine hawajui.
Lakini Mungu si abdalah saiv mboso anawaka nyimbo zake ni nzuri kama ile 'nipepee' siichoki mimi
Halafu ninacho shangaa ni mbosso kuhangaika kumpost kila akitoa wimbo lakini yeye Aslay huwa ampost kabisa......
Kwa Mbosso mimi sasa hivi hodari ni yamoto
 
Aslay anafata nyayo za king wa kariakoo, Kujikweza.
 
Kwenye promo na kataa kabisa maana promo anapewa sema kuna shida sehemu nyingine naweza kukubaliana na wanaosema kuwa ana maudhui yale yale kila kukicha
OSATA wakitia mkono wa ASLAY kwa Promo lazima ngoma zitahits hata kama ladha ile ile......Bongo hata wimbo ukiwa mbaya ukipewa promo za kutosha unapata mileage.
 
Tatizo dogo aliachia ngoma nyingi sana within short period of time,nyimbo alizokwisha zitoa angekua anatoa kila moja kwa kila baada ya miezi hata sita tu angekua bado anavuma sana shida akitoa huu haujasikika anatoa mwingine na wabongo kwa kuhama hodari unaachwa wa kwanza watu wanadeal na wa pili,muhimu angeacha watu wammiss
 
Wasalaam

Kati ya watu au wasanii wenye vipaji hapa nchini vya kuimba ni Aslay....
Aslay anao uwezo mkubwa sana tena sana...
Lakini kwa hivi karibuni muziki wake umeanza kuyumba kabisa na hata ile ladha imeanza kupotea kabisa na hata attentions ya watu kwake imepungua sana...
Bado najiuliza nini kimempata Aslay? Je ni utunzi umechokwa? Hana kipya cha kuwapa tena mashabiki?
Nani wakumsaidia Aslay na anguko hili? washauri wako hawaoni tatizo?
Wasalaam........
Hana strategy ya hiyo biashara.
Kuimba sana sio kigezo cha yeye kuwa juu. Hebu wajaribu kuiga mbinu za kina diamond kila kukicha maskendo waone itakuaje
 
Kwangu mimi nyimbo nzuri ya mwisho toka kwake ni 'Natamba' the rest hakuna kitu.

Abadilike tokana na game vile inaenda... Sa hivi hawabembelezi sana.
Tuko kwenye ukurasa mmoja
 
Hana strategy ya hiyo biashara.
Kuimba sana sio kigezo cha yeye kuwa juu. Hebu wajaribu kuiga mbinu za kina diamond kila kukicha maskendo waone itakuaje
aiseee
 
Tatizo dogo aliachia ngoma nyingi sana within short period of time,nyimbo alizokwisha zitoa angekua anatoa kila moja kwa kila baada ya miezi hata sita tu angekua bado anavuma sana shida akitoa huu haujasikika anatoa mwingine na wabongo kwa kuhama hodari unaachwa wa kwanza watu wanadeal na wa pili,muhimu angeacha watu wammiss
hakika
 
OSATA wakitia mkono wa ASLAY kwa Promo lazima ngoma zitahits hata kama ladha ile ile......Bongo hata wimbo ukiwa mbaya ukipewa promo za kutosha unapata mileage.
osata ni wakina nani hao?
 
Hana strategy ya hiyo biashara.
Kuimba sana sio kigezo cha yeye kuwa juu. Hebu wajaribu kuiga mbinu za kina diamond kila kukicha maskendo waone itakuaje
Hamorapa kila siku ana skendo lkn bado hakiki, kaachia nyimbo mbili anasikiliza mwenyewe. Kiki inakuboost ukiwa na content nzuri na Diamond mjanja anachia nyimbo nyingi lkn zina midundo na mahazi tofauti, ukisikiliza Baila, African beauty na Iyena nyimbo hizi zipo tofauti kuanzia midundo, msg mpaka melody. Yy nyimbo kila siku melody, msg na biti zile zile lazima watu wakuchoke, hata uwe bingwa wa kutengeneza kiki utafeli tu.
 
Skendo za kina kingwendu na nyimbo za matusi ndo unazozisemea?

Mond yupo juu si kwa midundo ya kazi zake. Ni vile hadithi ya maisha yake inavyowavutia watu. Hivyo kila siku wanataka kujua kafika wapi na wanaosubiri aanguke kila siku wanasubiri taarifa.

Aslay akijitahidi kwenye skendo na mashow off kama ya mond, atatoboa sana maana anaweza kuimba na anaeleweka
 
Hamorapa yule pale akajifanya mpaka kavunjika mkono kaweka POP kwenye uzinduzi wa Wema lkn wapi. Ukifanya mziki wa style moja watakuchoka, hata Rayvany na harmonize wamelijua hili wanatoa nyimbo zenye midundo, msg na mahazi tofauti. Alafu hii kutukana si anatumia tafsida, mbona akina Matona na Bi kidude washatumia sana au akitumia Diamond dhambi. Wewe kama unampenda jamaa mwambie abadilike, mziki haumsubiri yy.
 
Back
Top Bottom