Nini kimempata Aslay, Nyimbo zake kwa sasa zina shida gani?

Aslay is just another artist who has become a victim of poor or lack of proper management as far as music matters are cconcerned.
 
Huyu dogo tangu clouds waanze kumpa promo ili azibe pengo la diamond ndipo hapo walipomuharibia wamemtia gundu tu mtoto wa watu.maana mashabiki wengi wa wcb wakaanza kumpotezea matokeo yake mawingu wamemsababishia mpasuko wa mashabiki kijana wa watu wakati alikua anapata support kubwa tu
 
He is musically fatigued
 
Kaanguka kivipi? Mbona mi naona yupo sawa tu.Nini kinakufanya uone kaanguka kimziki?Hebu fafanua.
 
Kwangu mimi Aslay hajawahi kuchuja, hana nyimbo mbaya hata moja, naisikiliza ANANIKOMOA almost kila saa
 

Unapompata Mganga wa Kienyeji mzuri basi hakikisha ya kwamba haumdhulumu lakini pia unafuata masharti yake ' tukuka ' kabisa lakini hata kama ikibidi uwe unamtumia tu hata Hela kama asante nje ya makubaliano yenu ya Kilozi / Kiushirikina basi uwe unafanya tu hivyo ili azidi Kukurekebishia ' nyota ' yake kinyume cha hapo tegemea ' anguko ' kubwa na takatifu. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…