Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Wewe unapotezewa muda na uyo popoma anakuenjoy tu

Anajua famila ya makamba ni ya kiislam ila wanaoharibu eti kumfichia dini[emoji16]

Acha kupoteza muda
Hao ndo wapambe wake,wanataka aonekane mkristo sababu ya 2030.Sasa Mpango akiwa Rais 2026,wataanza kusema tena January ni Muislam. 🤣Kweli ngoja niachane nao,kama ulivyonishauri.
 
Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
Tanzania haiongozwi na sheria ya Kiislam, kwani kuna Sheria ya Ndoa na watu kuwa na dini tofauti siyo sababu haibatilishi ndoa. Masharti mengine ya dini ni tamaduni za zamani zilizopitwa na wakati. Al Bashir alikuwa anajifanya anaujua na kufuuata Uislam, ila siku wanamkamata wanamkuta na machupa ya Jack Daniels ndani.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndo wapambe wake,wanataka aonekane mkristo sababu ya 2030.Sasa Mpango akiwa Rais 2026,wataanza kusema tena January ni Muislam. 🤣Kweli ngoja niachane nao,kama ulivyonishauri.
Anakuaje raisi wakati election ni 2025🙄
 
Ninemsoma!!. Ila hapo nyuma Kuna mahala nimeeleza kuwa familia ya makamba uislamu wao ni ule uislamu unaoonekana siku ya Eid , siku ya harusi na siku ya msiba. Ndiyo maana inafika mahala Hadi watu Wanabishana kwa kushindwa kuelewa ni watu wa kundi gani !!.
Waislamu wa aina hii ndio wale wakiulizwa nguzo za uislamu ni ngapi wanakwambia " inategemeana na ukubwa wa msikiti, !! Kama msikiti mdogomdogo nguzo nne zinatosha na kama msikiti ni mkubwa sana basi unaweza kuhitaji Hadi nguzo sitini na Tano na kuendelea.
 
Makamba ni muislamu tangu lini? Mzee Makamba umewahi kumuona msikitini?

By the way mama yake January Makamba ni Mkristo Mkatoliki, kwahiyo si kwamba anabadili dini Bali kubatizwa na kuishi kwenye imani ya Ukristo.
Ina maana ym ni mkristo 😄
 
Upo sahihi January ni Muislam niliisha faitilia maelezo yake Insta aliandika , aliwahi kuishi na bibi yake mkoani Kagera vijijini akiwa mdogo tu kwa umri na akikumbukia kisa cha Muislam mmoja aliekuwa anatafutwa na bibi yake mzaa mama (Mkristo) achinje kuku kwa sababu January alitakiwa kula nyama/kuku aliechinjwa kwa misingi ya imani yake ya Kiislam na akasema cha kuchekesha mchinjaji anaenda kutafutwa afu akipatikana anakuwa ameisha kunywa pombe kama hajitambui

January ni Muislam, labda abadili kwa sababu hizo za kisiasa , ila mkewe wanasema ni Mkristo na mama yake mzazi pia
Hivi JM ana mke?,mbona sikuwahi kulijua hili,mbutaaaa!
 
January hajawahi kuwa mwislamu, hata baba yake Mzee Makamba siyo mwislamu.

Ukweli huu haumpi sifa yoyote ya Urais.
Ina maana mzee makamba anaupenda ukristo kuliko uislam duh mbona mda mwingi sasa yuko ndani ya barakashea na kanzu 😀
 
Ninemsoma!!. Ila hapo nyuma Kuna mahala nimeeleza kuwa familia ya makamba uislamu wao ni ule uislamu unaoonekana siku ya Eid , siku ya harusi na siku ya msiba. Ndiyo maana inafika mahala Hadi watu Wanabishana kwa kushindwa kuelewa ni watu wa kundi gani !!.
Waislamu wa aina hii ndio wale wakiulizwa nguzo za uislamu ni ngapi wanakwambia " inategemeana na ukubwa wa msikiti, !! Kama msikiti mdogomdogo nguzo nne zinatosha na kama msikiti ni mkubwa sana basi unaweza kuhitaji Hadi nguzo sitini na Tano na kuendelea.
Umenikumbusha ya Amani Karume alialikwa mashindano ya kuhifadhi Quran basi kwenye speech akanasema nimefurahi vijana mnaweza kuhifadhi Quran lakini msiishie juzuu 30 tu muendelee mpaka juzuu 40 mpaka 50 huko.

Konyagi siyo kabisa.😀😀
 
Back
Top Bottom