Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Unapekenywa wewe sii bure, Bi mdashi aondoke hata leo yani [emoji856][emoji848][emoji848]
 
Sasa nikuulize, ndoa ya watu wa dini tafauti inafungishwa kanisani au msikitini!! Kila dini Ina Sheria na taratibu za ndoa ambazo ni tafauti na Sheria na taratibu za dini nyingine, sasa watu wa dini tafauti watafungishwa ndoa kwa Sheria na taratibu za dini ipi?! Ndoa ya kikristo lazima ifungishwe na padri au mchungaji kanisani na ndoa ya kiislamu nayo inataratibu zake ndio maana nikasema hapa Tanzania hakuna ndoa ya muislamu na mgalatia hasa kwa kuzingatia kuwa uislamu kisheria hautambui ndoa ya kiserikali iliyofungishwa nje ya Mila na taratibu za kiislamu.
Nimekuambia Tanzania haiongozwi na Sheria ya dini. Kuna ndoa za kidini, za kitamaduni na bomani (za kiserikali) ambazo hazina masharti ya dini. Hivyo jua ndoa za kidini ni sehemu tu ya ndoa halali zinazoweza kufungwa hapa nchini.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Makamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
Sasa babra huyu wa kupangisha folen wanaume, km aziza wa buguruni ndo umuone smart sanaa huyo makamba wako??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom