Nini kimempata designer wa gari za Toyota Motors Corporation?

That's world of beast, we in the world of beast... Everything they design, they design accordingly to customers need n context.Sisi baadhi ya Wateja Tunoana km wanaharibu la hasha, kumbe Kwa utafiti wao washaona mapigo hayo ndo yanasoko zaidi duniani... Hawa jamii wanaakili hawakurupuki.....
 
Hii ni kweli ila haimaanishi ndio walipue lipue hivyo! Gari zina shepu za ajabu
 
Mara nyingi Toyota wamekua wakiiga Design za magari ya Ulaya sasa labda wanataka kutoka kivyao ndio hayo mazombie wanayotuletea sasa
Kuiga nako kuna pande mbili, mazuri au mabaya. Ila kama kwa akili ya kawaida Toyota wanaona kutngeneza body kama macaroni ndio zinavutia basi waendelee kutuudhi!
 
Duuuh zngne hata hazieleweki. Wamepotea njia warudi njia kuu
hahahaha ndani ya miaka mitano ijayo hutaweza kutofautisha bagia na gari la toyota isipokuwa kwa uwepo wa matairi tu.
 
"we didn't do anything wrong,but we lost" S. Elop ukijua huyu aliongea hv baada ya nn, hutakaa kiwashangaa toyota!
 
mashoodjr Volvo wanakuja juu sana sasa na hiyo XC 90. Mimi mwenyewe naiangalia niitungue kati ya hii Volvo, Audi Q7/Q5 au Porshe Macan S.
Volvo ina muonekano mzuri, it feels like a car indeed. sio gari imekaa kishenzi shenzi, ndio maana toyota sikuhizi wahuni wanaziita bebi woka au gari za ma manzi coz hazieleweki. Dume kujipinda kwenye passo, vits n.k ni kichekesho mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…