Hio gari waichage hivyo hivyo. Wakiibadilisha watakuwa wamezingua mno. Its the only classic design left in Toyota motors na ndio maana wanaozijua real Toyota hawaachi kununua hio mashine. Gari ya kiume!
Toyota Land cruiser 70 LX... Design boooora kabisa toyota waliifanya..
Hio gari waichage hivyo hivyo. Wakiibadilisha watakuwa wamezingua mno. Its the only classic design left in Toyota motors na ndio maana wanaozijua real Toyota hawaachi kununua hio mashine. Gari ya kiume!
Hizo shepu kwa mtoto wa kike sishangai mkuu, ni kawaida yenu kupenda vitu visivyo na sharp edges ama vyenye umbo la box.Kweli uzuri wa kitu upo kwenye macho ya mtazamaji..... Magari mazuri sana hata nlikua najuliza kwann toyota hawatengenezi??? Sasa nasubur muda uende niweze jipatia kama mtumba from japan kwa bei cheee!
Huyo alikua CEO wa Nokia...Mkuu huyo alikuwa ni nani katika qoute? Hebu nipe udau kidogo.
ndio watz tulivyo sema i cant afford, watu wananunua supercars with millions of dollars zenye sura mbaya zaid ya hzo range na toyota mayai yenu,, money issues is hard to deal with ,,Hahahaha ukweli mtupu.
But braza even if i would afford..Never will buy any shitty looking car.ndio watz tulivyo sema i cant afford, watu wananunua supercars with millions of dollars zenye sura mbaya zaid ya hzo range na toyota mayai yenu,, money issues is hard to deal with ,,
Watu hawataki magari yenye muonekano kama ya kufanyia safari za kuwinda, wanataka magari yenye shepu za mviringo mviringo.
Toyota Land cruiser 70 LX... Design boooora kabisa toyota waliifanya..
Kwa kuzingatia swala la aerodynamics au sayansi ya ukinzani kati ya upepo na mwendo katika vyombo vitembeavyo kasi kama gari. Gari iliyo na umbile la box hasa kwenye uso wake linapata resistance kubwa ya upepo pindi linapotafuta mwendokasi hali inayopelekea engine kutumia nguvu sana ili kufikia speed inayotakiwa.Boxy car zinakulaje fuel?
Sikuungi mkono sana mkuu,mbona gari kama Hummer haziko curvy na wanauza vizuri tu,na hata Range Rover na Landrover e.g. discovery karibu zote hazina kona kali sana na bado zinakubalika sokoni,hayo maswala ya aerodynamics hayazihusu hizo gari nilizotaja hapo juu?mbona wao wameendelea ku maintain!hilo wazo lako sikubaliani nalo.Watu hawataki magari yenye muonekano kama ya kufanyia safari za kuwinda, wanataka magari yenye shepu za mviringo mviringo.
Aerodynamics zime play part sana.
Ndiyo trend ya sasa hivi. Haya magari boxy ayanaonekana ya kizamani.
Soma hapa wameelezea zaidi How cars went from boxy to curvy
Sikuungi mkono sana mkuu,mbona gari kama Hummer haziko curvy na wanauza vizuri tu,na hata Range Rover na Landrover e.g. discovery karibu zote hazina kona kali sana na bado zinakubalika sokoni.
Hata mimi hii gari naipenda, ukiangalia kwa makini hawa kudeviate sana kutoka kwenye old model.
Toyota Land cruiser 70 LX... Design boooora kabisa toyota waliifanya..
Kama ilivyomtokea giant NOKIA yu wapi leo?!Ushindani wa Soko ndio unawafanya wabadilike vingine itakula kwao, test ya customers inabadilika kila wakati you have no choice vinginevyo utafunga biashara.