Nini kimempata designer wa gari za Toyota Motors Corporation?

Nini kimempata designer wa gari za Toyota Motors Corporation?

a1ca3f040d06658a9f8735751b087c34.jpg

Toyota Land cruiser 70 LX... Design boooora kabisa toyota waliifanya..
Hio gari waichage hivyo hivyo. Wakiibadilisha watakuwa wamezingua mno. Its the only classic design left in Toyota motors na ndio maana wanaozijua real Toyota hawaachi kununua hio mashine. Gari ya kiume!
 
"we didn't do anything wrong,but we lost" S. Elop ukijua huyu aliongea hv baada ya nn, hutakaa kiwashangaa toyota!
Mkuu huyo alikuwa ni nani katika qoute? Hebu nipe udau kidogo.
 
Hio gari waichage hivyo hivyo. Wakiibadilisha watakuwa wamezingua mno. Its the only classic design left in Toyota motors na ndio maana wanaozijua real Toyota hawaachi kununua hio mashine. Gari ya kiume!

"Gari ya kiume" [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3] huwa naitumia kauli hiyohiyo mkuu..
 
Kweli uzuri wa kitu upo kwenye macho ya mtazamaji..... Magari mazuri sana hata nlikua najuliza kwann toyota hawatengenezi??? Sasa nasubur muda uende niweze jipatia kama mtumba from japan kwa bei cheee!
Hizo shepu kwa mtoto wa kike sishangai mkuu, ni kawaida yenu kupenda vitu visivyo na sharp edges ama vyenye umbo la box.
Kwa mtoto wa kiume rijali gari za hivyo ni aibu hata kuonekana umepiga nayo picha. Wachilia mbali kuiendesha.
 
ndio watz tulivyo sema i cant afford, watu wananunua supercars with millions of dollars zenye sura mbaya zaid ya hzo range na toyota mayai yenu,, money issues is hard to deal with ,,
But braza even if i would afford..Never will buy any shitty looking car.
 
a1ca3f040d06658a9f8735751b087c34.jpg

Toyota Land cruiser 70 LX... Design boooora kabisa toyota waliifanya..
Watu hawataki magari yenye muonekano kama ya kufanyia safari za kuwinda, wanataka magari yenye shepu za mviringo mviringo.

Aerodynamics zime play part sana.

Ndiyo trend ya sasa hivi. Haya magari boxy ayanaonekana ya kizamani.

Soma hapa wameelezea zaidi How cars went from boxy to curvy
 
Boxy car zinakulaje fuel?
Kwa kuzingatia swala la aerodynamics au sayansi ya ukinzani kati ya upepo na mwendo katika vyombo vitembeavyo kasi kama gari. Gari iliyo na umbile la box hasa kwenye uso wake linapata resistance kubwa ya upepo pindi linapotafuta mwendokasi hali inayopelekea engine kutumia nguvu sana ili kufikia speed inayotakiwa.
 
Watu hawataki magari yenye muonekano kama ya kufanyia safari za kuwinda, wanataka magari yenye shepu za mviringo mviringo.

Aerodynamics zime play part sana.

Ndiyo trend ya sasa hivi. Haya magari boxy ayanaonekana ya kizamani.

Soma hapa wameelezea zaidi How cars went from boxy to curvy
Sikuungi mkono sana mkuu,mbona gari kama Hummer haziko curvy na wanauza vizuri tu,na hata Range Rover na Landrover e.g. discovery karibu zote hazina kona kali sana na bado zinakubalika sokoni,hayo maswala ya aerodynamics hayazihusu hizo gari nilizotaja hapo juu?mbona wao wameendelea ku maintain!hilo wazo lako sikubaliani nalo.
 
Sikuungi mkono sana mkuu,mbona gari kama Hummer haziko curvy na wanauza vizuri tu,na hata Range Rover na Landrover e.g. discovery karibu zote hazina kona kali sana na bado zinakubalika sokoni.

Huniungi mkono hata nilichoandika umeleewa? Umesoma link niliyotoa?
Unaweza kulinganisha mauzo ya hummer na na gari isiyo "niche" product"

Unaelewa "niche" product ni nini?

Unaelewa hata Range Rover Evoque inaelekea huku kwenye curvy design kwa kuwa na paa la kibiongo?

Unaelewa kwamba unapoandika "mbona gari kama Hummer haziko curvy na wanauza vizuri tu,na hata Range Rover na Landrover e.g. discovery karibu zote hazina kona kali sana na bado zinakubalika sokoni" unajikanganya na hueleweki unaandika nini?
 
Back
Top Bottom