Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akzindue kampeni kule kitaa cha haiKwani Freeman Mbowe ndiye Mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA hadi uwe na 'Kisununu' chote hiki cha Kumuulizia tena Kinafiki na Kisanifu?
Soma tena comment yako kama unaielewa
Inasemekana!Kuna msuguano mkubwa sana ndani ya chadema, inasemekana nia yake sio urais ni uenyekiti na Mbowe naye hataki kabsa kuachia kijiti
CHIMBOHaya tutajie yupo wapi?
Kukashifu mtu aliyeumizwa na unaowashabikia kutakuponza , usijisahau kiasi hichoMnyika mtoto mdogo sana kwa siasa za Bongo.
Mmempeleka wapi mwenyekiti wenu?
Mnamuacha Loketo anamenyeka juani peke yake
Mbona mgombea wao mwenyeweee alishafika bei kwenye chama cha zito?? Ni suala la mda tuuu. Amesubiri agaragazwe na ccm hiyo October, na njia itakua nyeupeee kwenda kwa zitoo. Na mapokezi yatafanyika pale kigoma uwanja wa mwanga center .Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko.
Mpaka naandika uzi huu leo tarehe 20/09/2020 hajazindua kampeni za kutetea ubunge kwenye jimbo lake la Hai.
Wafuasi wake wamekuwa wakiamini kwamba mgombea wao yupo bega kwa bega na mgombea urais wa CHADEMA lakini jambo hilo ni gumu kuthibitisha kwani ni muda mrefu hajaonekana hadharani.
Kutokana na hulka ya CHADEMA kupenda kuzusha taharuki, inabidi sasa serikali ifuatilie alipo Mbowe ili wasije wakafanya yao kisha wakaangushia jumba bovu serikali kama kawaida yao.
Naamini wewe unaosoma uzi huu umejipanga kumpa kura yako rais Magufuli atuongoze kipindi cha pili...
Maendeleo hayana vyama
Una uhakika gani aliumizwa na anao washabikia ?Kukashifu mtu aliyeumizwa na unaowashabikia kutakuponza , usijisahau kiasi hicho
upo ushahidi wa wazi sana , muulize ndugai risala ya mazishi ya Lissu iliandikwa na nani ?Una uhakika gani aliumizwa na anao washabikia ?
Acha kumtetea, huyu jaamaa baada ya kukosekana kwa chopa, alisusia kabisa kampeni za kufukua na lov4, mbona kipindi kile cha lowasaa jamaaa alishinda ndani ya chopa mwanzo mwishooo?Kwani Freeman Mbowe ndiye Mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA hadi uwe na 'Kisununu' chote hiki cha Kumuulizia tena Kinafiki na Kisanifu?
Kwani Freeman Mbowe ndiye Mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA hadi uwe na 'Kisununu' chote hiki cha Kumuulizia tena Kinafiki na Kisanifu?
Wewe bidada wewe ! Una maneno sana ! Kwa hiyo risala ya mazishi ilishaandaliwa akapelekewa Ndugai ?upo ushahidi wa wazi sana , muulize ndugai risala ya mazishi ya Lissu iliandikwa na nani ?
Umeachwa mbali sana ! hata vifaa vya kumzikia Lissu vilishanunuliwa .Wewe bidada wewe ! Una maneno sana ! Kwa hiyo risala ya mazishi ilishaandaliwa akapelekewa Ndugai ?