Nini kimempata LIZABONI?

Nini kimempata LIZABONI?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
 
Lizaboni is here, very kicking, Leo ameibuka na Uzi kuwa Emma Nchimbi achunguzwe na TAKUKURU!
 
Sisi wana wa ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
Yupo anawaza jinsi anavyotetea matumbo ya mafisadi humu jf,huko chamani kila MTU ana kitega uchumi chake huku yeye akiwa ana hali mbaya kimaisha
Lizaboni
 
Lizaboni hatajwi, tayari kisha tia timu, poleni mliokuwa mkiomba atokomee.
 
L
Mkuu mimi nilidhania Lizaboni uenda maisha yake yapo juu sana?
Kwanini udhanie hivyo? Kuwa na hoja kuntu humu siyo lazima maisha yako yawe juu. Ni wewe tu kujiongeza kichwani.
 
SI HUWA ANASEMA YUPO SONGEA STENDI YA MABASI ATAKUWA AMEAMUA KUMSINDIKIZA MH SIXTUS MAPUNDA MPAKA STENDI YA MABASI UBUNGO KUELEKEA MIKONO SALAMA
Teeeeeeh teeeeeh, hao hata bila ya kusindikizwa wanaenda tu kutuzuga tu baada ya mwezi utaambiwa hawana kosa
 
Kumuulizia Lizaboni siyo kwa chuki maana bila yeye jamvi halichangamki
Kweli mkuu ila kuna mtu humu alikuwa anaomba atokomee , sasa sijui yeye angefaidikaje na kutokomea kwake.
 
Back
Top Bottom