Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui