Wewe ndio lizaboni......mbona unatokwa na povu kwa vitu vidogo hivyoWewe ndio umeadimika
No sense
Hahahahahaaaaaaaaa! Nitokomeee wapi? Naona bakora zangu zinakuingia barabaraHuyo jamaa simpendi bora atokomee tuu
Yupo anawaza jinsi anavyotetea matumbo ya mafisadi humu jf,huko chamani kila MTU ana kitega uchumi chake huku yeye akiwa ana hali mbaya kimaishaSisi wana wa ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
SI HUWA ANASEMA YUPO SONGEA STENDI YA MABASI ATAKUWA AMEAMUA KUMSINDIKIZA MH SIXTUS MAPUNDA MPAKA STENDI YA MABASI UBUNGO KUELEKEA MIKONO SALAMAHuyo jamaa simpendi bora atokomee tuu
Anatetea Matumbo ya Mafisadi? Acha utani wewe kwani Lizaboni ni Team Lowassa?Yupo anawaza jinsi anavyotetea matumbo ya mafisadi humu jf,huko chamani kila MTU ana kitega uchumi chake huku yeye akiwa ana hali mbaya kimaisha
Lizaboni
Mapunda siyo IringaSI HUWA ANASEMA YUPO SONGEA STENDI YA MABASI ATAKUWA AMEAMUA KUMSINDIKIZA MH SIXTUS MAPUNDA MPAKA STENDI YA MABASI UBUNGO KUELEKEA MIKONO SALAMA
Sio "jamaa/lijamaa", ni mdada ameizing flan hiviππππHuyo jamaa simpendi bora atokomee tuu
Kwanini udhanie hivyo? Kuwa na hoja kuntu humu siyo lazima maisha yako yawe juu. Ni wewe tu kujiongeza kichwani.Mkuu mimi nilidhania Lizaboni uenda maisha yake yapo juu sana?
Teeeeeeh teeeeeh, hao hata bila ya kusindikizwa wanaenda tu kutuzuga tu baada ya mwezi utaambiwa hawana kosaSI HUWA ANASEMA YUPO SONGEA STENDI YA MABASI ATAKUWA AMEAMUA KUMSINDIKIZA MH SIXTUS MAPUNDA MPAKA STENDI YA MABASI UBUNGO KUELEKEA MIKONO SALAMA
Kweli mkuu ila kuna mtu humu alikuwa anaomba atokomee , sasa sijui yeye angefaidikaje na kutokomea kwake.Kumuulizia Lizaboni siyo kwa chuki maana bila yeye jamvi halichangamki
Sasa wewe lizaboni tunashinda naye jukwaaniWewe ndio lizaboni......mbona unatokwa na povu kwa vitu vidogo hivyo